Mkuu akiwafanyia wakati wapo watoto unajuaje kwamba hii ninayombakisha nayo ndo ina nguvu na hii ninayoiua ni dhaifu ?Aliwaacha Hadi wakawa wakubwa wakagoma Bora angewafanyia wakiwa watoto
Kwao Wana hyo asili hata mashangazi wako hivo hivo ni iko kiukooWapi hiyo? Mzazi unapata mtoto kwanza, wa pili bila kujiuliza mpaka sita? Hapana huo no uzembe kiwango cha lami.
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
I think wanaweza kujua at early stage kupitia vipimo bana vinavyoweza kuonyesha level za hormon either za kike au kiumeMkuu akiwafanyia wakati wapo watoto unajuaje kwamba hii ninayombakisha nayo ndo ina nguvu na hii ninayoiua ni dhaifu ?
Kwa sababu ninavyofahamu mtu atajua kwamba jinsia gani ina nguvu pale atakapoanza zile secondary sexual x-tics kama yaani kubaleghe na kuvunja ungo.
Endao ukaondoa jinsia hizo mapema utotoni kama unavyoshauri unatumiakigezo gani kujua ipi ina nguvu na ipi haina..?
Duniani Kuna Siri kweli kwenye circle ya watu mnaojuana historia vizuri aisee. Tena yajulikana mtaa mzima lohHiko kitu hufanywa Siri wewe ulitambuaje
Wadada watakuwaje na jinsia mbili?Kuna familia ilikuwa na wadada sita wazuri hatari ila wanajinsia mbili duh na waligoma kutoa matokeo wamezeeka na uzuri wao.
Mlijuaje?Kuna familia ilikuwa na wadada sita wazuri hatari ila wanajinsia mbili duh na waligoma kutoa matokeo wamezeeka na uzuri wao.
Mzee MdeeNdiyo,
Mmoja wapo yupo kwenye kundi la wale wabunge covid 19.
Naachaje kujua Mambo ya family friend na Wala haikuwa siriMlijuaje?