Serikali: Kuna kundi kubwa la watoto wenye jinsia mbili, lakini wanafichwa na wazazi na kushindwa kupatiwa matibabu

Aliwaacha Hadi wakawa wakubwa wakagoma Bora angewafanyia wakiwa watoto
Mkuu akiwafanyia wakati wapo watoto unajuaje kwamba hii ninayombakisha nayo ndo ina nguvu na hii ninayoiua ni dhaifu ?

Kwa sababu ninavyofahamu mtu atajua kwamba jinsia gani ina nguvu pale atakapoanza zile secondary sexual x-tics kama yaani kubaleghe na kuvunja ungo.

Endao ukaondoa jinsia hizo mapema utotoni kama unavyoshauri unatumiakigezo gani kujua ipi ina nguvu na ipi haina..?
 
I think wanaweza kujua at early stage kupitia vipimo bana vinavyoweza kuonyesha level za hormon either za kike au kiume
 
Serikali itoe Mwongozo/Sheria ya matibabu ya wanaozaliwa hiyvo

msiwaache wajiendee nyumbani tu.,
Ni kundi maalum hilo
 
kuna Jirani angu anae uyo lakini wanafanya siri
 
Back
Top Bottom