safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Mkuu akiwafanyia wakati wapo watoto unajuaje kwamba hii ninayombakisha nayo ndo ina nguvu na hii ninayoiua ni dhaifu ?Aliwaacha Hadi wakawa wakubwa wakagoma Bora angewafanyia wakiwa watoto
Kwa sababu ninavyofahamu mtu atajua kwamba jinsia gani ina nguvu pale atakapoanza zile secondary sexual x-tics kama yaani kubaleghe na kuvunja ungo.
Endao ukaondoa jinsia hizo mapema utotoni kama unavyoshauri unatumiakigezo gani kujua ipi ina nguvu na ipi haina..?