Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Wanajifichaje na wakati wanazaliwa hospitali? uongo tupu baada ya kushindwa kuwasaidia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi imejaa watu wajinga kama huyoNdiyo,
Mmoja wapo yupo kwenye kundi la wale wabunge covid 19.
alelewe kwa jinsia gani wakati anazo mbili mkuu ?Shida ni kuwa ukimuacha akakua akaja kuchagua mwenyewe akibalehe ni kwamba kama alilelewa kama wakike halafu akikua achague kuwa wa kiume huoni hapo ndipo jamii itataharuki?na unyanyapaa utaanzia hapohapo,ni bora atambuliwe mapema ili aishi na alelewe kufuatana na jinsia yake.
Na nyie watu wa maabara mmejuaje kama ni Kundi kubwa?mmefanya utafiti au kwa sababu mmeletewa kesi mbili tatu kwenu mmeamua kuropoka?
Unamlea kiume akakua anataka kuwa demu utafanyaje hapo bora wamrekebishe mapema hakuna aliyewahi chagua jinsi.Wasomi, msaada tutani; mwana baiolojia si lazima awe daktari sio?
Hakuna jinsi ya kuwaacha mpaka wakaja kuchagua wenyewe, tena baada ya balehe? Sawa, kwamba kitaalamu watathibitisha kuwa jinsi inayotawala ni x, ila kwa huku kwetu, ni bora ikajithibitisha yenyewe kuliko kupasuliwa kichwa ilhali ugonjwa uko gotini.
Bora kuficha tu maana jamii inaunyanyapaa au kutoa jinsia Moja na kuikuza yenye nguvuNdiyo,
Mmoja wapo yupo kwenye kundi la wale wabunge covid 19.
Wapi hiyo? Mzazi unapata mtoto kwanza, wa pili bila kujiuliza mpaka sita? Hapana huo no uzembe kiwango cha lami.Kuna familia ilikuwa na wadada sita wazuri hatari ila wanajinsia mbili duh na waligoma kutoa matokeo wamezeeka na uzuri wao.
Hii kitu inawezekanaje
Hii itasaidia sana .Kwa kuwa watoto wengi wanazaliwa hospitali, ingetengenezwa sheria kwamba ikitokea mtoto kazaliwa na jinsia mbili awekwe chini ya uangalizi maalumu kama ilivyo kwa watoto njiti.
Writing from experience mkuu!????Usiombe ukutane na shemale,wamejaliwa sura matata warembo, na uume wa farasi.
Anaweza kufanyiwa upasuaji ikabaki moja yenye nguvualelewe kwa jinsia gani wakati anazo mbili mkuu ?
Aliwaacha Hadi wakawa wakubwa wakagoma Bora angewafanyia wakiwa watotoWapi hiyo? Mzazi unapata mtoto kwanza, wa pili bila kujiuliza mpaka sita? Hapana huo no uzembe kiwango cha lami.
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Niliwahi kumuona mtoto mmoja alikuwa na miezi kama minne pale kwa juu inaanza uke kwa chini unakuja uume na pumb. inakuwa ndogo sana kuiona mpaka uichungulie Sana.Mama mtu alikuwa hana hata hela ya kula lakini madaktari wa wilayani walikuwa wanamuambia aende hospitali kubwa ya rufaa.Sasa nyeti zao zinakaa wapi kati ama
Uanjuaje kwamba hii ndo ina nguvu wakati bado hajabaleghe ?Anaweza kufanyiwa upasuaji ikabaki moja yenye nguvu
Hapana yule ana mtoto mkubwa tuNdiyo,
Mmoja wapo yupo kwenye kundi la wale wabunge covid 19.
Hiko kitu hufanywa Siri wewe ulitambuajeAliwaacha Hadi wakawa wakubwa wakagoma Bora angewafanyia wakiwa watoto