Serikali: Kuna ongezeko la watu wenye homa, kukohoa, mafua, maumivu ya mwili

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
525
Reaction score
1,257
Wizara ya Afya imebaini ongezeko la watu wenye dalili za homa, kukohoa, mafua, kubanwa kifua & maumivu ya mwili kuanzia Desemba 2021 hadi Machi 25, 2022, hali ambayo imekuwa ikitokea kwa miaka mitatu mfululizo. Wote wenye dalili hizo wametakiwa kwenda vituo vya afya kwa matibabu.


 
Hatimaye wametoa tamko, watu wanaumwa sana mtaani
 
Bora wametoa tamko,nilikuwa na hofu kwani mafua na uchovu vinatesa watu mtaani.
 
Mnataka mpige tena hela za Uviko?

Wenzenu wamehama kwenye uviko wapo kwenye vita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…