Serikali: Kuna ongezeko la watu wenye homa, kukohoa, mafua, maumivu ya mwili

Kunywa mchanganyiko wa limao na tangawizi as tea kila asubuhi. Afu tufanye mazoezi
 
Mimi pia nimebanwa na mafua makali sana. Hii imekaaje?
 
Tafuna kitunguu maji. Pia tangawizi na maji ya limao.

Utaendelea kufanya shughuli zako kama kawaida huku ukikaangaamiza hako ka hali mdogomdogo.
 
Alhamdulillah rabbil alameen…kwa zaid ya miaka 20 nmepata homa mara mbili tu na mara ya mwisho 2006
Namshukuru sana Allah kwa neema hii ya Afya

Tengenezeni utaratibu wa kuwa mnakunywa mchanganyiko wa limao, tangawizi, pili pili walau mara tatu ndani ya wiki mbili bila ya kujalisha unaumwa mafua, homa au viungo…ni zaid ya hayo mataka taka sijui Pfizer sijui JJ n.k
 
Achaneni na hayo mavitunguu, malimao na tangawizi, sijui maji moto, ujanja ni barakoa na kuchanja.

🤭 Nyie ndiyo mnaturudisha nyuma asee!.
 
Alhamdulillah rabbil alameen…kwa zaid ya miaka 20 nmepata homa mara mbili tu na mara ya mwisho 2006
Namshukuru sana Allah kwa neema hii ya Afya

Tengenezeni utaratibu wa kuwa mnakunywa mchanganyiko wa limao, tangawizi, pili pili walau mara tatu ndani ya wiki mbili bila ya kujalisha unaumwa mafua, homa au viungo…ni zaid ya hayo mataka taka sijui Pfizer sijui JJ n.k
Group lako la damu..?
 
Hali ya hewa imebadilika ,kinay Ka upepo flan iv
 
Back
Top Bottom