Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wewe uko wapi?Kumbe tupo wengi
Ukiumwa wewe na washikaji kadhaa dhaifu usihisi ni kila mtu anapata hizo tabuLimeongezeka wimbi la Mafua makali hv karibuni. Mzigo Kama umerudi au ndo mambo ya vita?
Hizi akili ndio zimekula uhai wa Magufuli kizembe kabisa.Jifukizeni sasa
Na si kila mtu anaweza kuambukizwa ukimwi hili ulijuwe pia.Ukiumwa wewe na washikaji kadhaa dhaifu usihisi ni kila mtu anapata hizo tabu
Hata mimi zamani nilikuwa mjinga kama wewe sikuelewa flue ni nini na kwa nini flue inawasumbuwa sana wazungu.Aisee.. watu wanahofia mafua
Hata mimi namshukuru sana MUUMBA kwa kunipa Afya iliyo bora na njema pia.Alhamdulillah rabbil alameen…kwa zaid ya miaka 20 nmepata homa mara mbili tu na mara ya mwisho 2006
Namshukuru sana Allah kwa neema hii ya Afya
Tengenezeni utaratibu wa kuwa mnakunywa mchanganyiko wa limao, tangawizi, pili pili walau mara tatu ndani ya wiki mbili bila ya kujalisha unaumwa mafua, homa au viungo…ni zaid ya hayo mataka taka sijui Pfizer sijui JJ n.k
Kwahiyo wewe unafanya mazoezi kumzidi marehemu Mac vivian foe?Hata mimi namshukuru sana MUUMBA kwa kunipa Afya iliyo bora na njema pia.
Kwa kweli sikumbuki mara ya mwisho ni lini nilipata homa, na huwa sina kawaida ya kusumbuliwa na Mafua, au hata viuongo kuuma.
Asikudanganye mtu Mazoezi ni dawa tosha.
Asilimia kubwa ya Maisha yangu ni Mazoezi
Nasikia ni wachache sana.Na si kila mtu anaweza kuambukizwa ukimwi hili ulijuwe pia.
Kwa miaka mitatu mfululizo hili tatizo lipo, halina uhusiano na unachokiamini.Nasikia ni wachache sana.
Ila hili la kuona au kuambizana mitaani, makazi au popote na ukakuta unachokiumwa wewe nao wanaumwa tuache kuleta mastory ya ajabu
Miwatu mingi siku hizi ni nyoronyoro tu yani tunatembea na maradhi ukipitiwa kavumbi tu shida, ukinywa maji ambayo hayajachemshwa utahara hadi kesho kutwa n.k sasa hii si kila mtu inampata watu strong ni wengi mno
Yote hiyo ni madhara ya vita ya urusi na ukraine. Hivyo Mwili unajiweka sawa kukabiliana na ongezeko la bei.Limeongezeka wimbi la Mafua makali hv karibuni. Mzigo Kama umerudi au ndo mambo ya vita?
hahahaKwani wewe uko wapi?
Utanishindanisha vipi na Mtu ambae alishafariki!Kwahiyo wewe unafanya mazoezi kumzidi marehemu Mac vivian foe?