Washawasha zinaongezwa.Magari ya Wagonjwa ni sehemu tu ya idadi ya magari yote yatakayo kuja.
Wizara ya Mambo ya Ndani ndio itanufaika zaidi na ununuzi huu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Washawasha zinaongezwa.Magari ya Wagonjwa ni sehemu tu ya idadi ya magari yote yatakayo kuja.
Wizara ya Mambo ya Ndani ndio itanufaika zaidi na ununuzi huu!
Aliyekuambia dawa amna ni nani?umeenda hospital ukakosa dawa?Kwahiyo mbadala wa dawa ni magari ya wagonjwa eeeh?
Ishalipwa hiyo usifikiri hawayajui hayo.Washapiga pesa hapo Mkuu. Badala ya kwenda kulipa deni la bilioni 100 la MSD ili madawa muhimu yasambazwe mahospitalini nchini kipaumbele chao ni kununua magari!
Aliyekuambia dawa amna ni nani?umeenda hospital ukakosa dawa?
Aliyekuambia dawa amna ni nani?umeenda hospital ukakosa dawa?
Aliyekuambia nchi aina pesa ni nani, mbona mnakurupuka sana, na aliykuambia hilo deni halijalipwa ni nani,unaweza ukawa na yaarifa za kutolipwa na zikawa ni taarifa za wk nzima lakini deni likawa tayari limelipwa[emoji33]Ukisikia nchi haina pesa, umeenda hazina ukakosa pesa??!.
Jiongeze kabla ya kujibu..
Aliyekuambia nchi aina pesa ni nani, mbona mnakurupuka sana, na aliykuambia hilo deni halijalipwa ni nani,unaweza ukawa na yaarifa za kutolipwa na zikawa ni taarifa za wk nzima lakini deni likawa tayari limelipwa[emoji33]
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app

hayo ni kwa ajili yq ambulance au
Kila kitu kina wakati wakeKama nchi inapesa wapeni wanafunzi mikopo, walipeni polisi, na walimu. Jengeeni maaskari wasikae kwenye viringo na wapeni posho za kujikimu wasisumbue vijana wa bodaboda. Au unataka kumdanganya nani??!. Si wote tunadanganyika mkuu.
Kwani lazima uajiriwe na serikali hamuipi serikali ushirikiano hata kwa yale inayofanya lakini mnata iwape ajira[emoji15]Walete dawa, ajira zitoke na sio magari. wagonjwa tutabeba na machela.
Kwani lazima uajiriwe na serikali hamuipi serikali ushirikiano hata kwa yale inayofanya lakini mnata iwape ajira[emoji15]
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Kwani lazima uajiriwe na serikali hamuipi serikali ushirikiano hata kwa yale inayofanya lakini mnata iwape ajira[emoji15]
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Deni la nini? We kuwa mpole tukuletee ambulesi hapo utapanda hadi uchoke.Deni msd washalipa???
Kweli kabisa maana badala ya kununua dawati na dawa wananunua ndege na gari. Lakini pia malaika hapendi maeneo ambayo malaika wanageuzwa shetani. Nchi ngumu hiiHata malaika hawezi kuiongoza nchi hii, tumekuwa kama taifa la Israel, kulalamika na manung'uniko kila saa. Hili ni taifa masikini, litabaki hivi kwa muda mrefu...
We hauko tz. Na kama uko basi hujaumwa ukatumia hosp za ummaAliyekuambia dawa amna ni nani?umeenda hospital ukakosa dawa?
Sekta binafsi ndo kwaanza inaporomokaKwani lazima uajiriwe na serikali hamuipi serikali ushirikiano hata kwa yale inayofanya lakini mnata iwape ajira[emoji15]
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app