Tetesi: Serikali kununua magari aina ya Ashok Leyland zaidi ya 700...

Washapiga pesa hapo Mkuu. Badala ya kwenda kulipa deni la bilioni 100 la MSD ili madawa muhimu yasambazwe mahospitalini nchini kipaumbele chao ni kununua magari!
Ishalipwa hiyo usifikiri hawayajui hayo.
 
Ukisikia nchi haina pesa, umeenda hazina ukakosa pesa??!.
Jiongeze kabla ya kujibu..
Aliyekuambia nchi aina pesa ni nani, mbona mnakurupuka sana, na aliykuambia hilo deni halijalipwa ni nani,unaweza ukawa na yaarifa za kutolipwa na zikawa ni taarifa za wk nzima lakini deni likawa tayari limelipwa[emoji33]

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Hizo gari hata miaka 2 hazimalizi.
Dili la nani tena hili?
 
Aliyekuambia nchi aina pesa ni nani, mbona mnakurupuka sana, na aliykuambia hilo deni halijalipwa ni nani,unaweza ukawa na yaarifa za kutolipwa na zikawa ni taarifa za wk nzima lakini deni likawa tayari limelipwa[emoji33]

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Aliyekuambia nchi aina pesa ni nani, mbona mnakurupuka sana, na aliykuambia hilo deni halijalipwa ni nani,unaweza ukawa na yaarifa za kutolipwa na zikawa ni taarifa za wk nzima lakini deni likawa tayari limelipwa[emoji33]

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app

Kama nchi inapesa wapeni wanafunzi mikopo, walipeni polisi, na walimu. Jengeeni maaskari wasikae kwenye viringo na wapeni posho za kujikimu wasisumbue vijana wa bodaboda. Au unataka kumdanganya nani??!. Si wote tunadanganyika mkuu.
 
Kila kitu kina wakati wake

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Kwani lazima uajiriwe na serikali hamuipi serikali ushirikiano hata kwa yale inayofanya lakini mnata iwape ajira[emoji15]

Tutaipa ushirikiano pindi tu kodi zetu zikifanya yanayostahili.
Unafahamu hata kichaa analipiwa kodi na ndugu zake?

Jiongeze acha ushabiki..
 
Hata malaika hawezi kuiongoza nchi hii, tumekuwa kama taifa la Israel, kulalamika na manung'uniko kila saa. Hili ni taifa masikini, litabaki hivi kwa muda mrefu...
Kweli kabisa maana badala ya kununua dawati na dawa wananunua ndege na gari. Lakini pia malaika hapendi maeneo ambayo malaika wanageuzwa shetani. Nchi ngumu hii
 
Back
Top Bottom