Serikali kununua tiketi 4000, ni ishara kwamba wananchi wake wana hali ngumu kiuchumi?

Serikali kununua tiketi 4000, ni ishara kwamba wananchi wake wana hali ngumu kiuchumi?

Lanlady

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2019
Posts
1,836
Reaction score
6,303
Suala la rais na waziri mkuu
Screenshot_20230323-200746.jpg
kuahidi kununua tiketi za kutazama mpira kwenye mechi ya taifa stars, je ni dalili kwamba wananchi wake wana hali ngumu kiuchumi? Nini umuhimu wa kuwa na uwanja wa taifa kama kitega uchumi cha taifa?
 
Hata morali pia ya mashabiki wa hiyo timu ya Taifa, iko chini sana. Wachezaji huwa wanazingua sana kwenye kucheza. Mara nyingi hucheza chini ya kiwango na huwa hawajitumi ipasavyo.
 
Kila zuri mnatafsiri mnavyotaka iwe....haliwi. Ni suala la kupongezwa.
 
Kama ndo kikomo cha ubongo wako katika kufikiria, hatuna msaada wa zaid kwako.
 
Ticket [emoji957] 4000=madawati mangapi?

Ova
 
Suala la rais na waziri mkuu View attachment 2563030 kuahidi kununua tiketi za kutazama mpira kwenye mechi ya taifa stars, je ni dalili kwamba wananchi wake wana hali ngumu kiuchumi? Nini umuhimu wa kuwa na uwanja wa taifa kama kitega uchumi cha taifa?
Hapana, Serikali hipo vizuri na tunatoa misaada kwa mataifa mengine Kama Uturuki tumewapatia USD 1,000,000
 
Back
Top Bottom