Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Hapa kwenye elimu bado tuna shida sana. Kwenye nchi za wenzetu, hakuna mwalimu asiyekuwa na angalau bachelor’s degree ya ualimu. Sharti tutambue kwamba huko chini kwenye msingi ndiko kwa muhimu zaidi. Nyumba yenye msingi mbovu kimsingi siyo nyumba!
Serikali imeanza mpango wa kupanga upya walimu kulingana na viwango vyao vya elimu, ambapo walimu wenye stashahada watapangiwa kufundisha katika shule za msingi huku wale wenye shahada wakielekezwa kufundisha ngazi ya sekondari.
Hatua hiyo inalenga kuongeza ufanisi katika ufundishaji kwa kuzingatia utaalamu wa walimu pamoja na mahitaji ya kila ngazi ya elimu.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Daniel Mushi, amesema mpango huo ni sehemu ya maboresho ya mifumo na miundombinu ya elimu nchini.
Kila mtu ni boss wa Mwalimu. 😂🤣Hawa wanetu wao haiwezi kupita miezi sita bila kunyanyaswa .
Nakumbuka kuna wamba na degree zao walipelekwa msingi alafu eti sasa hivi wanarudishwa sekondari yaani mpaka mtu aamue kuacha kazi tu
Mpaka akina mzee kajamba nani mtendaji wa kijiji utamkuta mwalmu anamuita boss boss boss ,aibu naona mimi aiseeKila mtu ni boss wa Mwalimu. 😂🤣
Kazi ambayo ni very noble ndo inachezewa na kila Tom and Jerry. Pole zao nyingi Walimu.
Serikali kurupushi! Wakilala wakiamka, wanakuja na matamko yasiyo na kichwa wala miguu.
Serikali imeanza mpango wa kupanga upya walimu kulingana na viwango vyao vya elimu, ambapo walimu wenye stashahada watapangiwa kufundisha katika shule za msingi huku wale wenye shahada wakielekezwa kufundisha ngazi ya sekondari.
Hatua hiyo inalenga kuongeza ufanisi katika ufundishaji kwa kuzingatia utaalamu wa walimu pamoja na mahitaji ya kila ngazi ya elimu.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Daniel Mushi, amesema mpango huo ni sehemu ya maboresho ya mifumo na miundombinu ya elimu nchini.
Katika hili wacha nikuunge mkono tu.😔😔Mimi waalimu huwa siwaonei huruma acha tu wafinyangwe vile serikali Yao inataka.
Hawa pamoja na degree zao na diploma zao huwa wanaiba kura wakisadiana na watendaji. Pumbavu sana
Siku Moja yafukuzwe kazi kbx yasiyo na degree na Bado sitayaonea hurumaKatika hili wacha nikuunge mkono tu.😔😔
Watakuelewa? Hawana vision yoyote ni matamko yasio na maana yoyoye TU!Hapa kwenye elimu bado tuna shida sana. Kwenye nchi za wenzetu, hakuna mwalimu asiyekuwa na angalau bachelor’s degree ya ualimu. Sharti tutambue kwamba huko chini kwenye msingi ndiko kwa muhimu zaidi. Nyumba yenye msingi mbovu kimsingi siyo nyumba!
Habari imenukuliwa vibaya na mtoa mada ameandika kinachompendeza..Sidhani kama wanaelewa wanachofanya, mafunzo ya kumfundisha mtoto wa shule ya msingi ni tofauti na kumfundisha mwanafunzi wa sekondari na sio diploma au degree
Tatizo la elimu tanzania sio kiwango cha elimu cha walimu ,tatizo la elimu ya tanzania ni mifumo ya elimu ndio tatizo lilipo kubwa kuna walimu wa aina zote za elimu lakini ni tatizo kubwa sanaHapa kwenye elimu bado tuna shida sana. Kwenye nchi za wenzetu, hakuna mwalimu asiyekuwa na angalau bachelor’s degree ya ualimu. Sharti tutambue kwamba huko chini kwenye msingi ndiko kwa muhimu zaidi. Nyumba yenye msingi mbovu kimsingi siyo nyumba!
Kilichopo kwa walimu ndicho kulicho kwa polisi na idara zote za serikali huwezi kupingana na serikali unayo itumikia na umekula kiapo ,huwa mnaongea kujifurahisha tuu lakini swala la wizi wa kura lipo nje kabisa ya uwezo na maamuzi ua mwalimu au polisi au mtendaji labda aamue kutake risk maisha yake kitu ambacho ni ngumu ku take risk kwa ajili ya wanzania hawa ambao ni vilaza kabisa yakikukuta wanakuacha pekeyako una haha na wao wanakuwa busy na umbea wakina kajala na harmonizeMimi waalimu huwa siwaonei huruma acha tu wafinyangwe vile serikali Yao inataka.
Hawa pamoja na degree zao na diploma zao huwa wanaiba kura wakisadiana na watendaji. Pumbavu sana