Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Walimu akili hamna. Mnazo tu zile mmekalilishwa kuwa hii Ni a na ile f miaka nenda rudi haibadiliki.Kilichopo kwa walimu ndicho kulicho kwa polisi na idara zote za serikali huwezi kupingana na serikali unayo itumikia na umekula kiapo ,huwa mnaongea kujifurahisha tuu lakini swala la wizi wa kura lipo nje kabisa ya uwezo na maamuzi ua mwalimu au polisi au mtendaji labda aamue kutake risk maisha yake kitu ambacho ni ngumu ku take risk kwa ajili ya wanzania hawa ambao ni vilaza kabisa yakikukuta wanakuacha pekeyako una haha na wao wanakuwa busy na umbea wakina kajala na harmonize
Ninyi ndo huwa mnabumba matokeo sasa jamii ikiwaona ninyi wasomi mnafanya mambo ya kifala hivyo hiyo jamii ambayo hajasoma taiga nini kwenu?