Serikali kupanga upya walimu kulingana na ngazi za elimu, wenye diploma kufundisha elimu ya msingi

Serikali kupanga upya walimu kulingana na ngazi za elimu, wenye diploma kufundisha elimu ya msingi

Msomi wa makaratasi, weledi na compintent ipo tofauti? Au wewe umeelewa tu hiyo kwa moyo
We kichaa meza dawa kwanza competence na weledi ni vitu vizur tofauti halaf mwalimu wa diploma weledi anatolea wapi na sio competent?

NB: Kwenye reply nimesema kufundisha kwa moyo hakusaidii
 
M

Mwalimu Wa diploma hana sifa ya kufundisha secondary serikali imefanya jambo jema saana

We kichaa meza dawa kwanza competence na weledi ni vitu vizur tofauti halaf mwalimu wa diploma weledi anatolea wapi na sio competent?

NB: Kwenye reply nimesema kufundisha kwa moyo hakusaidii
Namuona hapa mwalimu wa degree anaye ingiza nyimbo kwenye flash anavyo tokwa povu, huwezi kufanikiwa kwa kuwachukia walio tangulia
 
Kumekuwepo Na Taarifa Ambayo Imechapishwa Katika Mitandao ya Kijamii Hasa Facebook Ikiwa Kuwa Wizara inatarajia Kuja Na Mpango wa Kuwapanga Walimu Kwa Kuzingatia Viwango Vya Elimu

Katika Chapisho Hilo Huko Mtandao Lina Habari Kama ifuatavyo ""Serikali imetangaza kuanza kwa mpango wa kuwapanga upya walimu nchini kulingana na viwango vyao vya elimu. Hatua hii imeelezwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Daniel Mushi, wakati akizungumza na waandishi wa habari.

Ufuatuliaji Zaidi Umebainisha kuwa kupitia Mitandao ya Kijamii Wa facebook Wizara ya elimu imekanushaa taarifa zinazosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusu walimu wenye ngazi ya diploma kushushwa Madaraja.
Hivyo Taarifa Hiyo Inayosambazwa Kwenye Mitandao ya Kijamii ni Potoshi
1773918019835.jpg
 
Samahani,kama utakuwa na mtoto au watoto lazima utawapeleka shule, iwe ya umma au binafsi kote huko utawapelekea hao walimu mtoto wako.

Swali: Wewe mwenye akili umekubali vipi kuwapelekea watu wasiokuwa na akili wampe mtoto wako elimu??.Ulikuwa wapi?? Hukufahamu??Au wewe ndiyo huna akili??
Duuh kweli hii ni kansa nilijua jipu.

Tangu lini a e i o u zikabadilika? Kuwakalilisha watoto fa fe fi fo fu ndo akili?

Hii ni kansa sio jipu mkuu
 
Watumishi wote wa serikali. Mwalimu, Dokta, wauguzi, n.k. watendaji na madiwani NI maboss zao
Kijana wangu sijakataa hiko kitu na sio kuwa sielewi hilo ila katika hao uliowataja anayeshoboka boss boss na kuogopa pasipo pakuogopesha ni hao ndugu zetu .
Mimi nimeongelea kujinyenyekeza sizungumzii kuwa wao ndiyo wapo chini ya hao viongozi wa kata na vijiji
 
Wewe mwalimu ndio mlio lifikisha hapa hili Taifa.
Mkipewa hiyo 50k per day mnaona maisha mmeyapatia kabisa
Na ukijiangakia umepewa flana ya buku2 jero na kapelo yake basi akili inaisha mazima kabisa unabaki kumskiliza mtendaji tu anasemaje pamoja na mambo.
Umesahau na maji ya Kilimanjaro
 

Serikali imeanza mpango wa kupanga upya walimu kulingana na viwango vyao vya elimu, ambapo walimu wenye stashahada watapangiwa kufundisha katika shule za msingi huku wale wenye shahada wakielekezwa kufundisha ngazi ya sekondari.

Hatua hiyo inalenga kuongeza ufanisi katika ufundishaji kwa kuzingatia utaalamu wa walimu pamoja na mahitaji ya kila ngazi ya elimu.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Daniel Mushi, amesema mpango huo ni sehemu ya maboresho ya mifumo na miundombinu ya elimu nchini.
Hakuna jipya. Business as usual.
 
Back
Top Bottom