Serikali kupanga upya walimu kulingana na ngazi za elimu, wenye diploma kufundisha elimu ya msingi

Walimu akili hamna. Mnazo tu zile mmekalilishwa kuwa hii Ni a na ile f miaka nenda rudi haibadiliki.

Ninyi ndo huwa mnabumba matokeo sasa jamii ikiwaona ninyi wasomi mnafanya mambo ya kifala hivyo hiyo jamii ambayo hajasoma taiga nini kwenu?
 
Ualimu kazi ya kipumbavu
Ww unaiita ya kipumbavu ila Kuna wengine wanalia na kupiga magoti kwa Mungu kila siki waupate ualimu...
Mfano kwenye ziara za pm Kuna mwl alilia na kupiga magoti Kwa pm kisa kuomba Kaz ya ualimu...

NB:kamwe usije kudharau KAZI ya mwingine Kwa Sababu ww Mungu amekuneemesha kazi yenye maslahi ..mshukuru Mungu na mwombee ambae ana kazi unadhani sio nzuri ..
Duniani tunategemeana
 
Tuwe wa kweli,hapa bongo mwalimu wa Diploma anafundisha kwa weledi na moyo kuliko hawa wa Degree...
 
Tuwe wa kweli,hapa bongo mwalimu wa Diploma anafundisha kwa weledi na moyo kuliko hawa wa Degree...
Tuwe wa kweli,hapa bongo mwalimu wa Diploma anafundisha kwa weledi na moyo kuliko hawa wa Degree...
Kufundisha Kwa moyo hakusaidii wanahitajika watu competent kwenye kada husika
 
Walimu akili hamna. Mnazo tu zile mmekalilishwa kuwa hii Ni a na ile f miaka nenda rudi haibadiliki.

Ninyi ndo huwa mnabumba matokeo sasa jamii ikiwaona ninyi wasomi mnafanya mambo ya kifala hivyo hiyo jamii ambayo hajasoma taiga nini kwenu?
Sasa hapa wewe una akili gani,mnona sasa wewe ndio zaidi hata ya hao walimu unawasema, rudia tena kusoma nilicho andika, hakuna mtu mwenye akili ambaye hata elewa misingi ya niliandika
 
Diploma na certificate sasa kupangwa upya wenye degree kuchukua nafasi hii ni hatua nzuri diploma ya sekondari wataenda msingi kufundisha huko hao certificate wataenda chekechea udaga πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ jamani.

Anyway mwalimu mwenye diploma nenda chuo upate degree yako kama bado unahitaji kubaki sekondari.
Hakuna kula cha shortcut wacha wenye degree wale hustle zao.

Wenye degree waliopangiwa msingi watarudi sekondari .

Mwisho kabisa naipongeza wizara kwa kulitambua hili tripe hadhi elimu yetu na tuongezee weledi mashuleni
 
Sasa hapa wewe una akili gani,mnona sasa wewe ndio zaidi hata ya hao walimu unawasema, rudia tena kusoma nilicho andika, hakuna mtu mwenye akili ambaye hata elewa misingi ya niliandika
Wewe mwalimu ndio mlio lifikisha hapa hili Taifa.
Mkipewa hiyo 50k per day mnaona maisha mmeyapatia kabisa
Na ukijiangakia umepewa flana ya buku2 jero na kapelo yake basi akili inaisha mazima kabisa unabaki kumskiliza mtendaji tu anasemaje pamoja na mambo.
 
Kwa kweli hapa nawapa pongezi GVT, degree ilidharaulika mno.
 
Umejibu vizuri sana
 
M
Sidhani kama wanaelewa wanachofanya, mafunzo ya kumfundisha mtoto wa shule ya msingi ni tofauti na kumfundisha mwanafunzi wa sekondari na sio diploma au degree
Mwalimu Wa diploma hana sifa ya kufundisha secondary serikali imefanya jambo jema saana
 
Mimi napongeza sana Walimu wa Diploma warudi kufundisha Elimu ya msingi.
Hao Diploma wengi walifeli kama sio fm4 ,fm6 ni aibu haohao kurudi kufundisha secondary.
Kumpleleka mwalimu mwenye degree kufundisha chekechea haikuwa sawa.
 
Walimu akili hamna
Samahani,kama utakuwa na mtoto au watoto lazima utawapeleka shule, iwe ya umma au binafsi kote huko utawapelekea hao walimu mtoto wako.

Swali: Wewe mwenye akili umekubali vipi kuwapelekea watu wasiokuwa na akili wampe mtoto wako elimu??.Ulikuwa wapi?? Hukufahamu??Au wewe ndiyo huna akili??
 
M

Mwalimu Wa diploma hana sifa ya kufundisha secondary serikali imefanya jambo jema saana
Uko sahihi mkuu lakini usidhani ndo it-pave the way kwa ninyi jobless kuajiriwa

,🀣🀣🀣

Halafu hakuna tuzo ya kufundisha nursery, primary, secondary au A- level.

Kikubwa pesa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…