Serikali kupitia simu za mkononi, inaweza kukusanya fedha na kuanzisha Mfuko(Fund) wa kugharamia Bima ya Afya na Elimu ya Juu kwa Watanzania wote

Serikali kupitia simu za mkononi, inaweza kukusanya fedha na kuanzisha Mfuko(Fund) wa kugharamia Bima ya Afya na Elimu ya Juu kwa Watanzania wote

Kwenye familia/ukoo mtu akiugua, mnaanza kuchangishana na pengine hata kufarakana na hata mgonjwa anaweza kufa kwa kukosa matibabu sahiohi kisa hamna hela ya kumtibu. Huu ni mfano mmoja tu, Sasa hapa kipi bora?
Wewe una bima?maana hapo mnawatengenezea watu mianya ya kuendelea kula hela ,bima tu hii ya watumishi tayari psssf isha geuzwa kikoba cha kukopesha na dawa karibu 85% muhimu zimeondolewa halafu leo mnakuja na porojo ,si bure hii nchi ina viongozi wenye roho za kiuaji kabisa
 
Wazo zuri sana lakini nchi yetu, majizi ni mengi mno, yatakua yamepata mwanya, wa kupiga pesa tena, na hizi mitandao tutakua tuijazia mzigo sana, aidha mawasiano yanaweza, yakawa ghali sana, na mzunguko ukawa mdogo kwenye VAT. wazo zuri sana hili?
 
Serikali inakusanya pesa nyingi kutoka vyanzo vingi ilivyonavyo lakini bado wazo lako halijawahi kufikiwa.. Pili katika watu milioni 40 sio wote kwao 500 ni fedha isiyo na madhara, wapo watu hawaweki hela kwenye simu mpaka line inafungiwa..
 
Back
Top Bottom