Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
nilikuwa sina mood ya kucheka.. lakini hii imenivunja mbavu..big ups geeque..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mods take note and watch the trend...
Ambaye hajahamaki humu ahamaki na ye basi!Sura ya Kwanza,
Ingawa wengine wameamua kukudharau,
Heshima kitu cha bure...kula tano!
mimi nitakuelimisha.
Asante!
Hakuna aliyechukia kuanzishwa kwa forum huko serikalini. watu walikuwa wanatoa taadhari tu kuwa watu wawe makini. Ndio maana utaona mwanakijiji na Kitila na Kada mpinzani wamejiunga.
Na ndio midahalo invyoendelea! hii makini
Sasa kuhamaki kwako inatia shaka, au unatakaje?
Na kizuzungu nimekipata kwa hili! Huna uadilifu huo wa uchunguzi! Kwani wewe hio ID ya Kinyau inamaainsha wewe kinyau au ndio Id kede kede? 😕 lete hoja hapa sio kuniongelea sura-ya-kwanza ! Hivi unajua wale wanaongelea watu saa zote wanaupungufu wa mawazo katika jamii?😉FD, Nyani msijisumbue na huyo sura ya kwanza. Kazi yake ni spinning na huyu mtu ana ID kede kede, just see the structure of his writing.
nadhani pia muwe waangalifu ambao mnajiunga kule kwani ni rahisi kuwa tracked and hakuna privacy kama JF kwani sijaona desclaimer ya administrators wao hawana statement ya kulinda ip za watu. Mnaokwenda kule sio mbaya mkajua hilo.
tangu nijiunge JF nimekua kiakili na sasa nategemea kuoa karibuni ingawa mnanibania michango yenu
Kutapatapa ndio inayoonekana hapa! Sasa watanzania wengine wasianzishe Forum basi tu kwa sababu JF imekuwa inasomwa sana? Ebo...Yaani hii inanikumbusha Uhuru-Mzalendo/Daily News era! Lazima JF ikubali competition if not opposition! Malumbano mengine humu hayana maslahi ni uzushi, personal attacks, na mazinga-ombwe! Toba... kukurupuka bila ya kuelewa kinacho-hojiwa! Yaani Kutapatapa Tu!
Hiyo Kweli kabisa Mwanakijiji hata mimi nimeshangaa Zitto kuwekwa kama Category nadhani labda hawajapata mtu anayejua ku-set up Forums vizuri au labda wanasubiri hadi Kikwete aende tena Scandinavia kuomba watalam wa ku-set up Forums.
nilikuwa sina mood ya kucheka.. lakini hii imenivunja mbavu..big ups geeque..
Geeque.......
taratibu kaka,yaani duh unatudharau ndugu zako,wa-tz wenzako licha ya kuwa tumekula shule na tumo serikalini hatuwezi kufanya kazi hiyo mpaka tukachukue mtaalamu skandanavia?TUOMBE RADHI NDUGU TENA KWA MAANDISHI MAKUBWA.