Serikali kutoa ruzuku ya bilioni 100 kunusuru bei ya mafuta. Yaomba mkopo IMF na Benki ya Dunia

Serikali kutoa ruzuku ya bilioni 100 kunusuru bei ya mafuta. Yaomba mkopo IMF na Benki ya Dunia

Dawa hapa ni kupunguza matumizi ya kawaida ya Serikali
kwa mfano misafara yote ipunguze watu toka mia 200 na magari zaidi ya 50 wabakie watu 20 na magari chini ya 8.
Safari za nje na posho posho marufuku.

Watumishi wate wanaotumia Magari ya Umma walipie mafuta 30%.
 
Hivi kwenye gesi ya kusini hatuna chetu!? maana sioni hii serikali ikiongelea kuhusu kufanya exploitation ya gesi kama chanzo muhimu cha nishati na chanzo cha mapato ya nchi hasa tukiuza nje.....
Mkuu wewe ni diaspora?
Gesi ya Tanzania iko kwa mume, subiri mume afe ufikiriwe ktk mirathi, Gesi si Mali yenu/ yako.

Kwa msononeko nasema,
Yule mstaafu atakufa kifo cha tabu sana na ahera atakutana na hukumu kali sana.
 
Dawa hapa ni kupunguza matumizi ya kawaida ya Serikali
kwa mfano misafara yote ipunguze watu toka mia 200 na magari zaidi ya 50 wabakie watu 20 na magari chini ya 8.
Safari za nje na posho posho marufuku.

Watumishi wate wanaotumia Magari ya Umma walipie mafuta 30%.
Sio Kwa Huyu Ambae nchini Kwake hakai Hata week Moja then anatembea. Wasaidizi wake wanaona Kwake anavyotembea Kila Kukicha MKuu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu wewe ni diaspora?
Gesi ya Tanzania iko kwa mume,subiri mume afe ufikiriwe ktk mirathi, Gesi si Mali yenu/ yako.

Kwa msononeko nasema,
Yule mstaafu atakufa kifo cha tabu sana na ahera atakutana na hukumu kali sana.
Aiseeee.....basi ngozi nyeusi sisi ni vima, utajiri wote huo unagawa kwa suti......huyu atakuwa chifu mangungo wa kizazi kipya.
 
wauze mavi-8 yote ya wakurugenzi na madc pesa zielekezwe kwenye kupunguza gharama ya mafuta pia mikutano mingi ifanywe online na sio kwenye mihotel ya nyota 5
Wauze? Wanauzaje wakati makatibu Wakuu na manaibu Wao na Madg Wa Taasisi za Serikali Kila Ijumaa Wanajisomba Kutoka Dom Kuja Dar na Jumapili Wanarudi Dom

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mtanikumbuka tu nasema mtanikumbuka .nchi yeyote duniani ili kufika mbali inahitaji dikteta awapeleke mpaka mambo yakae saw Kwa command ila ukiwa mnajifanya watu demokrasia mtajuta bado sana nchi za Africa kuwa na demokrasia
Yes... Reference made Kwa China

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
YAANI KAMA UNAENDA KUNUNUA KITU DUKANI ALAFU MWENYE DUKA ANAKUPA DISCOUNT YA 3% ya bei halisi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wapunguze kodi Kwenye mafuta hiyo mikopo kujiongezea mizigo tu
 
Yes... Reference made Kwa China

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
China mbali, Marekani hapo, aliyewatoa kwenye great depression na kuifanya liwe taifa lenye nguvu duniani 1933 - 1945 alikaa madarakani awamu 4 na akafia madarakani. Tokea 1945 Marekani ndio ikawa nchi yenye nguvu duniani kuliko zote. Sisi hapa bila vita nchi hii haiendi.
 
Back
Top Bottom