Serikali kutoa ruzuku ya bilioni 100 kunusuru bei ya mafuta. Yaomba mkopo IMF na Benki ya Dunia

Serikali kutoa ruzuku ya bilioni 100 kunusuru bei ya mafuta. Yaomba mkopo IMF na Benki ya Dunia

Huo utu na huruma mbona hakuuonyesha kwa kuwazuia Ewura kutangaza hizo bei mpya?!

Kwamba utu na huruma humwijia baada ya kutengeneza tatizo?!

Hivi mnatuonaje lakini,kwamba hatuna akili ama?!

Shame...!
 
Kitakacho tangazwa tarehe 1 june ni bei mpya ambayo imetokana na hii Mipango waloisema leo:-
1. KUKOPA KUKABILIANA NA ONGEZEKO LA BEI YA MAFUTA( Hii ni sawa na kufanya UGALI KUWA kitafunwa cha UJI)

2. Kuondoka 3% discount kwa kila lita moja ya mafuta.


[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
N ngumu kumeza, ni mwizi tu yaani huku mtaani anaonekana fisadi na kabebwa. Ila tunaomuelewa tupo. Kosa lake ni namna alivyoingia TANESCO bila kutumia akili
Propaganda za Mataga hizo.
 
... LATRA nao waanze vikao mapema kuchakata bei mpya za usafiri ili ikifika hiyo Juni 01 nauli zipungue - mabasi, daladala, bajaji, n.k. Sio wanasubiri hadi dakika za mwisho.
 
Bunge litaendelea na vikao vyake leo na kubwa linalotarajiwa kutokea ni mrejesho wa hatua ambazo Serikali inatarajiwa kuchukua kukabiliana na kupanda kwa kasi bei za mafuta kunakotajwa kusababishwa na vita ya Urusi na Ukraine...
Mafuta hatuzalishi Tanzania lakini mnakata tozo, Je mmeajiuliza huko yanakozalishwa wangekuwa wanayatosa tozo Kama nyie yangenunulika?
 
Hivi Serikali imeacha kukusanya kodi maana hii mikopo sasa imekuwa too much sisi hatuna fungu la dharura?
 
Wakuu Nasikia Kuna Mkopo kwa ajili ya kupunguza bei za mafuta [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
.
Hivi mkopo unaongesha burden au utapunguza gharama za mafuta?
Wewe acha mambo yako, lipi jema kwako sasa? Ndio huu mkopo ni justified unaenda kuleta relief hata future generation itaelewa kulikuwa na crisis wakakopa so hawataona ugumu kwenye kulipa huo mkopo.

Hebu angalia Sri Lanka sasa hivi maji ya shingo ndio wamekumbuka kutafuta bridging loan kujikwamua na hii dhahama. Kwakweli mimi naona serikali imechukua hatua nzuri sana better late than NEVER.
 
1. IMETOA RUZUKU YA SHILINGI BILIONI 100, ILI KUTOA AHUENI YA BEI YA MAFUTA KWA WANANCHI KUANZIA 1, JUNE 2022.

2. KURUHUSU WATU WA KUINGIZA MAFUTA KWA BEI NAFUU KUANZA MAFUTA NA GHARAMA ITAPUNGUA TENA AGOSTI 2022

3. KUANZISHWA KWA MFUKO WA KUKABILIANA NA MFUMUKO WA BEI YA MAFUTA (FUEL PRICES STABILIZATION FUND)

4. KUANZISHA UTARATIBU WA KUHIFADHI MAFUTA YA KIMKAKATI.

5. KUJENGA MAGHALA MAKUBWA YA KUHIFADHI MAFUTA KWA AJILI YA KUUZA NDANI NA NJE YA NCHI.

6. KUANZA UPOKEAJI WA MAFUTA KATIKA GHALA MOJA (SINGE RECEIVING TERMINAL), ILI KUPUNGUZA MUDA WA MELI KUSUBIRI PINDI INAPOLETA MAFUTA AMBAPO NAYO ILIKUA SABABU YA KUPANDA KWA GHARAMA ZA BEI YA MAFUTA.

7. KUONGEZEWA UWEZO WA TAASISI YA TPDC ILI KUFANYA BIASHARA YA MAFUTA.

8. KUBORESHA UTENDAJI KAZI WA TAASISI ZINAZOJIHUSISHA NA MASUALA YA MAFUTA IKIWEMO EWURA.

#KaziIendelee
#TanzaniaSalamaNaSamia
#SisiTumekubali
 
Bil 100 kidogo sana,
Kenya wametoa bil 800
Hii 100bn imetoka kwenye kubana matumizi, hiyo 800bn ya majirani waliikopa so tusubiri hapo July watakapokuwa wamesecure hiyo loan tuwahukumu kuanzia hapo.
 
Tuombe Mungu hapa katikati kabla ya mwezi wa sita US & EU na Russia wasipigane kabali,manake huku kwetu bei mpya inatangazwa jioni saa sita usiku bei inapanda.
 
Back
Top Bottom