Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Mbili kasoboro sisi 2025 chinja chinjaWanatuona sie ni hamnazo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbili kasoboro sisi 2025 chinja chinjaWanatuona sie ni hamnazo
Kwa hiyo unatakaje?Rais anasikitishwa vipi wakati yeye ndio alikuja na kauli za kusema sisi mafuta yetu yako bei chini kuliko kwa mabeberu na lazima yapande. Yeye ndiye alikuja na kauli lazima vitu zipande bei. Wanatoa viziwi eh
Subiria uongoze serikali ya wajinga wenzako ndio utatoa hiyo 1,000 ..ukiangalie ule mkeka wa kodi kwenye mafuta ipo namna ya kucheza na zile kodi na kuweza hata kuondoa tsh1000 kama kweli kuna lengo la kupunguza mzigo kwa mwananchi..
Baadala yake hiyo tsh1000 ifidiwe kwa kupunguza matumizi ya serikali, kukata au kuondoa kabisa posho za Excutives wote wakiwemo wabunge ( tuko kwenye dharula)..
Watalaam wakaechini wadadavue cost za mafuta kwenye hizo V8/month na excutives wengine wanaofanya kazi mjini watumie magari yao private after working hours/weekend na V8 za serikali baada ya kazi ziwarudishe nyumbani na madereva warudi kupaki maofisini....
Wafanyakazi wengine wasio na ulazima wa kutumia magari watumie public transport na magari waache nyumbani...
Safari zote nje ya kazi au shughuli za kiofisi kwa kutumia facilities za serikali iwe marufuku.
Serikali iache mara moja kulipa posho za vikao na viwe ni sehemu ya kazi maofisini, Safari zisimamishwe isipokuwa kuwe na kibari maalum kutoka Ikulu, Vikao vifanyike online baadala ya watu kusafiri..
Energy management kuhakikisha taa, AC, Computer nk vinazimwa vinapokuwa havitumiki ili kupunguza utilities bills..
Kodi ya vileo/pombe kutoka nje iongezwe maradufu kufidia gaps pia, Guests house, hotels na maduka yoote yafanyiwe usimamizi wa kutosha kwenye utoaji wa risiti za efd...
Mifumo yoote ya ulipaji mapato ya serikali online tuhakikishe inafanya kazi na malipo yoote yawe online..
Serikali ikiweka mbinyo kwenye matumizi yake basi hili la mafuta linaweza kabisa kuwekwa sawa.
Kwa nini tozo zisifutwe. Na kule zilipokuwa zinaenda wajibaneHata kama Rais alikosea mwanzo aliposema bei ya mafuta itapanda tujiandae, lakini kwa hii hatua aliyochukua namuunga mkono hasa ya kutoa ruzuku ya bilioni 100, we all learn from mistakes.
Mtumishi afanye Kazi ya umma afu alipie 30% ya pesa zake kufanya Kazi ya umma? Kuwa serious basi hata kama ni mjinga.Dawa hapa ni kupunguza matumizi ya kawaida ya Serikali
kwa mfano misafara yote ipunguze watu toka mia 200 na magari zaidi ya 50 wabakie watu 20 na magari chini ya 8.
Safari za nje na posho posho marufuku.
Watumishi wate wanaotumia Magari ya Umma walipie mafuta 30%.
Wakiuza kwa hiyo watakuwa wanatembea kwa miguu kwenda kufanya Kazi au sio?wauze mavi-8 yote ya wakurugenzi na madc pesa zielekezwe kwenye kupunguza gharama ya mafuta pia mikutano mingi ifanywe online na sio kwenye mihotel ya nyota 5
Kinukishe, tuko nyuma yako mkuu.China mbali, Marekani hapo, aliyewatoa kwenye great depression na kuifanya liwe taifa lenye nguvu duniani 1933 - 1945 alikaa madarakani awamu 4 na akafia madarakani. Tokea 1945 Marekani ndio ikawa nchi yenye nguvu duniani kuliko zote. Sisi hapa bila vita nchi hii haiendi.
Hiyo 1000 ya kufuta na 1000 ya kutia vitatoka wapi?Kufikia hiyo June mosi tayari bei ya mafuta itakuwa kwenye 3800/l.
Wakisema waondoe kodi&tozo pekee ambayo ni kama 800/l tutakuwa tunanunua kwa 3000/l.
Hii 3000/l nayo haimalizi hata wiki ipande.
Sioni umuhimu wa vyama vya siasa kugawiana ruzuku kila mwezi na hiyo misamaha ya kodi kwa taasis za dini ifutwe.
Serikali ifute kodi yote kwenye mafuta na itie 1000/l ili tuyapate kwa 2000/l mikoa na 1700/l Kwa DSM.😁.
Kwa hiyo unatakaje?
Atashusha baba yako hiyo Bei mkuuMi nasubiri kusikia bei imeshuka mpaka 2100 kwa Lita ,kushuka chini
Kwa hiyo kusema Bei zitapanda ni kosa!!?..je hazipandi, kama si Tanzania huko duniani hazipandi!?..Hata kama Rais alikosea mwanzo aliposema bei ya mafuta itapanda tujiandae, lakini kwa hii hatua aliyochukua namuunga mkono hasa ya kutoa ruzuku ya bilioni 100, we all learn from mistakes.
Imekumala hiyoAcha shobo na ID za watu. Ujaitwa ku quote
Exchange rate haiwekwi bali soko linaamuaNa hii exchange rate ya us dola inayoendelea kuwa 2,287 ni realistic? Je inamnufaisha nani?
Kwa mfano mwaka jana exchange rate ilikuwa 2310 na bei ya mafuta ya kula (Alizeti Singida) ilikuwa shs 4,400 (lita 5 shs 22,000).
Leo mafuta hayo hayo yamekuwa shs 7,000 kwa lita. Je kuendelea kuiweka dola kwenye 2,287 kunamsaidia nani? Je mtu anayefikiria kuja kutalii inamsaidia? (Yaani all local cost in Tshs zimepanda lakini exchange rate imeshuka)
Kukosa ubunifu tu wangeweza sana kuhamisha baadhi ya Tozo kwenda kwenye bidhaa zingine Ili walau mafuta yashuke na multiplier effect ishushe inflation.Subiria uongoze serikali ya wajinga wenzako ndio utatoa hiyo 1,000 ..
Niliwaambia mapema kwamba Kamwe serikali haiwezi kuondoa pesa za miradi Ili tuu wewe ununue mafuta bei chini..
Na kama itatoa basi itatoa taratibu taratibu kulingana na bei ya mafuta Duniani na impacts ya mafuta kwenye uchumi in case production imepungua na si vinginevyo.
Inawezekana kupitia currency pegging!! Japan wanafanya hivyo na China pia.Exchange rate haiwekwi bali soko linaamua
Wewe uko nje wenzio tuko ndani,kufanya hayo unavyosema itategemeana na mwenendo wa Uchumi na yanafanyika hatua kwa hatua..Kukosa ubunifu tu wangeweza sana kuhamisha baadhi ya Tozo kwenda kwenye bidhaa zingine Ili walau mafuta yashuke na multiplier effect ishushe inflation.
Otherwise unaweza suspend Mradi mmojawapo kwa hii miezi mitatu Ili Ile tozo say ya REA ama Road Fund itolewe ndani ya interim period.
Kung'ang'ania tozo wakati mafuta yanapandisha bei zingine utakuta hiyo trillion 1 unayoimezea mate ikapoteza thamani kwa 20% due to inflation kufikia mwakani so ukakuta hujaokoa lolote kwenye Miradi.