The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Hatukurupuki,hata hiyo impacts hatuiangalii kwenye maumivu yenu bali tunaangalia kama consumption ya mafuta imepungua ndio tunafanya uamzi..Watakaokuelewa ni wachache sana, tena ambao ndiyo walewale mlikokotoa hizo bil 100 mkaona zinatufaa watu 60m kwa siku 30.
Utaniambia kama impact ya Bil 100 kwa watu mil 60 kwa wezi itaonekana....huu ni UTANI, ni bora mngeacha kabisa ili lijulikane moja.
Wewe unaeweka Lita 10 kwa wiki hakuna kitu utaona ila anaetumia mitambo na kuweka mafuta mengi ataona ahueni.