Mkuu wewe ni diaspora?Hivi kwenye gesi ya kusini hatuna chetu!? maana sioni hii serikali ikiongelea kuhusu kufanya exploitation ya gesi kama chanzo muhimu cha nishati na chanzo cha mapato ya nchi hasa tukiuza nje.....
Sio Kwa Huyu Ambae nchini Kwake hakai Hata week Moja then anatembea. Wasaidizi wake wanaona Kwake anavyotembea Kila Kukicha MKuuDawa hapa ni kupunguza matumizi ya kawaida ya Serikali
kwa mfano misafara yote ipunguze watu toka mia 200 na magari zaidi ya 50 wabakie watu 20 na magari chini ya 8.
Safari za nje na posho posho marufuku.
Watumishi wate wanaotumia Magari ya Umma walipie mafuta 30%.
Yaani Hyo Mramba Asali ukimuona anavyoongea utafikiri ana AkiliHaya ni matapeli haya nia nzuri
Aiseeee.....basi ngozi nyeusi sisi ni vima, utajiri wote huo unagawa kwa suti......huyu atakuwa chifu mangungo wa kizazi kipya.Mkuu wewe ni diaspora?
Gesi ya Tanzania iko kwa mume,subiri mume afe ufikiriwe ktk mirathi, Gesi si Mali yenu/ yako.
Kwa msononeko nasema,
Yule mstaafu atakufa kifo cha tabu sana na ahera atakutana na hukumu kali sana.
Unasafiri Kwenda Nje ya Nchi unafika na kupokelewa na Waziri Badala ya Rais. Atakuwa anafosi Safari HuyuNchii ya ovyooo...inaongozwa na watu wa ovyooo kuwai kutokeaa
Wauze? Wanauzaje wakati makatibu Wakuu na manaibu Wao na Madg Wa Taasisi za Serikali Kila Ijumaa Wanajisomba Kutoka Dom Kuja Dar na Jumapili Wanarudi Domwauze mavi-8 yote ya wakurugenzi na madc pesa zielekezwe kwenye kupunguza gharama ya mafuta pia mikutano mingi ifanywe online na sio kwenye mihotel ya nyota 5
Nadhani Itapungua kwa 3% approximately, Sasa itakuwa ime solve tatizo?Hii nadhani ni ku-subsidize ili bei ipungue.. Kenya pia wamefanya hivyo.
Yes... Reference made Kwa ChinaMtanikumbuka tu nasema mtanikumbuka .nchi yeyote duniani ili kufika mbali inahitaji dikteta awapeleke mpaka mambo yakae saw Kwa command ila ukiwa mnajifanya watu demokrasia mtajuta bado sana nchi za Africa kuwa na demokrasia
Huyu jamaa ni majanga kwa serikali ya Samia ni majanga makubwa sana, kweli ukipunguza bei kesho shida iko wapi? hoja yake yameshalipiwa kwa hiyo?Huyu jamaa sikudhani kama ni mtu wa hovyo namna hii
Wabongo ukiwapa demokrasia wajuaji sana mfano leo panya road katoboa mtu macho wanamkamata piga chuma ya kichwa eti wanaleta demokrasia ya kujitetea
China mbali, Marekani hapo, aliyewatoa kwenye great depression na kuifanya liwe taifa lenye nguvu duniani 1933 - 1945 alikaa madarakani awamu 4 na akafia madarakani. Tokea 1945 Marekani ndio ikawa nchi yenye nguvu duniani kuliko zote. Sisi hapa bila vita nchi hii haiendi.