Serikali kutoa ufafanuzi matumizi ya Milioni 480 kutangaza matokeo ya Sensa

Rege

Senior Member
Joined
Jul 9, 2022
Posts
117
Reaction score
153
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani(CCM), Subira Mgalu amesema madai ya kuwa Serikali imetumia Shilingi Milioni 480 kwa ajili ya kutangaza matokeo ya Sensa haina ukweli wowote.

Subira Mgalu amesema Serikali pengine itatolea ufafanuzi suala hilo huku akiwataka wananchi kuwa na subra.
 
I'd mpya ndo zinaongoza kupost utumbo hapa JF
 
Sioni mantiki kukomalia aka katundu kadogo hambako kamevujisha vijisenti kidogo tu wakati Kuna matundu mengine mengi makubwa hambayo yanavujisha na kupoteza pesa nyingi za serikali kila siku,[emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani(CCM), Subira Mgalu amesema madai ya kuwa Serikali imetumia Shilingi Milioni 480 kwa ajili ya kutangaza matokeo ya Sensa haina ukweli wowote.

Subira Mgalu amesema Serikali pengine itatolea ufafanuzi suala hilo huku akiwataka wananchi kuwa na subra.
Sasa yeye kiherehere cha nini wakati na yeye hajui? Idadi ya wapumbavu inaongezeka kwa kasi sana huko CCM
 
Watu hawana maji salama majitu yanatumia kodi zetu ovyo
images.jpg
 
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani(CCM), Subira Mgalu amesema madai ya kuwa Serikali imetumia Shilingi Milioni 480 kwa ajili ya kutangaza matokeo ya Sensa haina ukweli wowote.

Subira Mgalu amesema Serikali pengine itatolea ufafanuzi suala hilo huku akiwataka wananchi kuwa na subra.
Ufafanuzi wa nini na pesa zimeliwa?

Nikiwaza mapema kwamba Kwa hadhara Ile lazima mil.500 imekata,huku ndio kubana matumizi?
 
Mpaka wafanye tamasha huku wana
Tangaza,hivi wasanii lazima kila matukio wawepo

Ova
 
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani(CCM), Subira Mgalu amesema madai ya kuwa Serikali imetumia Shilingi Milioni 480 kwa ajili ya kutangaza matokeo ya Sensa haina ukweli wowote.

Subira Mgalu amesema Serikali pengine itatolea ufafanuzi suala hilo huku akiwataka wananchi kuwa na subra.

So taarifa haina ukweli au serikali itatolea ufafanuzi.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hivi kwa nini huwa hawafanyi cross checking ya taarifa kabla ya kuzitoa?

Uzembe kama huu Rais atumbue Mkurugenzi wa Takwimu,kwa nini mnawachekea Hawa watu?

Kuna siku watasababisha maafa.
Huo muda wa kufanya wataupata wapi wakati wa juu anamwagiza wa chini na wa chini anamwagiza wa chini zaidi?
Wanachomakinika nacho ni %
 
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani(CCM), Subira Mgalu amesema madai ya kuwa Serikali imetumia Shilingi Milioni 480 kwa ajili ya kutangaza matokeo ya Sensa haina ukweli wowote.

Subira Mgalu amesema Serikali pengine itatolea ufafanuzi suala hilo huku akiwataka wananchi kuwa na subra.
Miaka 61 ya uhuru bado shule watoto wana kaa chini. Wamama wana jifungulia vichakani. Ccm majizi
 
Back
Top Bottom