Serikali kutoa ufafanuzi matumizi ya Milioni 480 kutangaza matokeo ya Sensa

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani(CCM), Subira Mgalu amesema madai ya kuwa Serikali imetumia Shilingi Milioni 480 kwa ajili ya kutangaza matokeo ya Sensa haina ukweli wowote.

Subira Mgalu amesema Serikali pengine itatolea ufafanuzi suala hilo huku akiwataka wananchi kuwa na subra.
Kwani yeye ndiye Msemaji wa Serikali?

Kama anafahamu kiasi kilichotumika si atuambie.

.je, Serikali ikisema imetumia hicho kiasi atakuwa tayari kuwajibika?
 
Hao walioandaa kuhesabu wenyewe vilaza! Walipeana ili wapige pesa. Je tangu sensa ifanyike hadi Leo wametoka idadi ya waliofariki na kuwekana wazaliwa?! Huu mchezo wa danganya toto na pesa zimepigwa kisawasawa.
Kwani Angela kwenye TV akatoa tangazo hizo mamilioni zingesaidia maskini maelfu walau kupunguza basi makali ya njaa!! Kuna mahali iko tatizo.
 
Wananchi wanapigika na shida ya ujana wa huduma ya Maji kama hitaji la msingi la mwanadamu. [emoji24]
 
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani(CCM), Subira Mgalu amesema madai ya kuwa Serikali imetumia Shilingi Milioni 480 kwa ajili ya kutangaza matokeo ya Sensa haina ukweli wowote.

Subira Mgalu amesema Serikali pengine itatolea ufafanuzi suala hilo huku akiwataka wananchi kuwa na subra.
Kwa idadi Ile ya viongozi toka Kila mkoa na wilaya, hizo 480m ni makasirio ya chini Sana.
 
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani(CCM), Subira Mgalu amesema madai ya kuwa Serikali imetumia Shilingi Milioni 480 kwa ajili ya kutangaza matokeo ya Sensa haina ukweli wowote.

Subira Mgalu amesema Serikali pengine itatolea ufafanuzi suala hilo huku akiwataka wananchi kuwa na subra.
SENSA INGEWEZA KUTANGAZIWA IKULU BILA KURUSHA HELIKOPTA na MBWEMBWE NYINGINE NI UFUJAJI WA KODI ZA MASIKINI
 
Inashangaza sana ...tena sana tu; Kabla ya zoezi la sensa tuliambiwa Serikali imetenga bajeti ya sensa, iwe kwa kupewa au bajeti kuu ilifanyika. Pamoja na mambo mengi kwenye sensa hiyo, anwani za makazi pia zilijumuishwa, tukaahidiwa kuwekewa vibao vya mitaa sambamba na namba za nyumba. Waziri mwenye dhamana aliruka na helikopta kukagua zoezi zima akiwa angani..... Ukweli ni kuwa hadi leo iko mitaa na vitongoji haina hivyo vibao vya mitaa, wala namba za nyumba, kisa ... hawana bajeti wezeshi kugharamia usimikaji wa vibao ambavyo vina bei ya shilling 7000 kwa kila nyumba na shilling 75000 kwa kila kibao cha mtaa, viwili ni sawa na 150000.
Leo nimeona helikopta nyingine ya jeshi ikiruka kwenye ile shughuli ya kutangaza matokeo ya sensa, ikipeperusha bendera ya taifa ya ujumbe wa sensa. Ni mafuta kiasi gani yametumika kuzungusha bendera ya taifa kwenye tukio hilo? Je pesa hiyo kwa nini isingetumika kulipia vibao vya mitaa vilivyododa kwenye ofisi za Serikali za mitaa kwa wananchi kukosa pesa ya kuvilipia?
Hali kiuchumi ni mbaya na huenda ikawa mbaya zaidi siku zijazo kwa hali ilivyokuwa tete Dunia nzima. Najiuliza tu; ni kwa nini shilling millioni 480 zitumike kwenye hafla ambayo ingeweza kutangazwa tu redioni au kwenye luninga?.... Haya ni matumizi mabaya ya pesa za wananchi...
 
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani(CCM), Subira Mgalu amesema madai ya kuwa Serikali imetumia Shilingi Milioni 480 kwa ajili ya kutangaza matokeo ya Sensa haina ukweli wowote.

Subira Mgalu amesema Serikali pengine itatolea ufafanuzi suala hilo huku akiwataka wananchi kuwa na subra.

daaaj nchi hii kweli aliyesib hamjui wenye njaa wanaenda kutumia mil 480 kwa ajil ya kutangaz matokeo . hivi kama wangetangaza kwenye television , radio na mitandao ya kijamii nini kingepungua
 
Hao walioandaa kuhesabu wenyewe vilaza! Walipeana ili wapige pesa. Je tangu sensa ifanyike hadi Leo wametoka idadi ya waliofariki na kuwekana wazaliwa?! Huu mchezo wa danganya toto na pesa zimepigwa kisawasawa.
Kwani Angela kwenye TV akatoa tangazo hizo mamilioni zingesaidia maskini maelfu walau kupunguza basi makali ya njaa!! Kuna mahali iko tatizo.
IMG-20221031-WA0106.jpg
 
Hizo.ni gharama za fataki...hawajaweka perdiem za wakuu wa mikoa na wilaya, makatibu wakuu, wakurugenzi, posho za uvccm etc so budget yake huenda ikafika 1b
 
Hao walioandaa kuhesabu wenyewe vilaza! Walipeana ili wapige pesa. Je tangu sensa ifanyike hadi Leo wametoka idadi ya waliofariki na kuwekana wazaliwa?! Huu mchezo wa danganya toto na pesa zimepigwa kisawasawa.
Kwani Angela kwenye TV akatoa tangazo hizo mamilioni zingesaidia maskini maelfu walau kupunguza basi makali ya njaa!! Kuna mahali iko tatizo.
Zingeweza kusaidia kwenda kuzima moto unaoendelea kuteketeza viumbe hai huko Mlima Kilimanjaro. Nchi hii sijui CCM wamelogwa na Nani?
 
Back
Top Bottom