Black Mirror
JF-Expert Member
- Oct 17, 2019
- 919
- 1,192
Mkuu siyo kweli hata kidogo, kama ulilielewa kama ilivyo kuwa sasa basi ni dhahiri hukulielewa kabisa kipindi hicho......kwa ufupi pale barua ilisema... kuongeza mshahara 23.3% ikiwemo kima cha chini......hilo neno ikiwemo lilitumika vibaya na yamkini aliye andika hiyo barua hakujua ni wapi neno IKIWEMO linapaswa kutumika....na ukitaka kujua kama hukuelewa vizuri jaribu kutafakari imekuwaje baada ya mshahara kutoka imetokea tafrani kila seheme? Imekuwaje serikali inahaidi kulitolea ufafanuzi tena? Tusijitoe ufahamu kwa mambo ambayo yako wazi...Tangazo lilikuwa linajifafanua lenyewe, tuliolielewa hatukutarajia mabadiliko makubwa.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app