Tangazo lilikuwa linajifafanua lenyewe, tuliolielewa hatukutarajia mabadiliko makubwa.
Mkuu siyo kweli hata kidogo, kama ulilielewa kama ilivyo kuwa sasa basi ni dhahiri hukulielewa kabisa kipindi hicho......kwa ufupi pale barua ilisema... kuongeza mshahara 23.3% ikiwemo kima cha chini......hilo neno ikiwemo lilitumika vibaya na yamkini aliye andika hiyo barua hakujua ni wapi neno IKIWEMO linapaswa kutumika....na ukitaka kujua kama hukuelewa vizuri jaribu kutafakari imekuwaje baada ya mshahara kutoka imetokea tafrani kila seheme? Imekuwaje serikali inahaidi kulitolea ufafanuzi tena? Tusijitoe ufahamu kwa mambo ambayo yako wazi...

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
kazi imeishaaaaa... mtatulia mpaka mtulie tuliiiiiiiiiiiii, Tanzania ni nchi ya hovyo sana, poleni ndugu zangu.
 
Mhh....hii sura ya KITENGO kabisa.....kipindi kile mtaalam anatangaza habari za mahindi Ruvuma kumbe.....!!!!

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…