Serikali kutumia kigezo cha kujitolea kuajiri Walimu siyo haki

Serikali kutumia kigezo cha kujitolea kuajiri Walimu siyo haki

Imagine kuna mwl shule x anajitolea miaka 2, then ajira zimetoka wewe uliyekuwa unafundisha private unapata nafasi kwenye hiyo shule x nae mwl alokuwa anajitolea kwenye hiyo shule x hajapata nafasi.

No No sio kila kitu tupinge, kwa hili naipongeza serikali kama wametoa kipaumbele kwa wale wanaojitolea katika shule za serikali.
 
Hata ungekuwa wewe nafikiri ungeanza na hao walio vituoni kwanza.. Wapo ktk mazingira magumu sana.

Nipo na serikali kwa hili.
 
Sehemu ambayo haina maji, zahanati, unakuta kuna kaduka cha dawa kameandikwa jina tu, lakini ndani hakuna hata Aspirin!, unaweza vipi kuishi eneo kama hilo
Wananchi waliopo huko wanaishi vipi? Yaani wewe na kashahada kako ka ualimu ushajiona ni mtu maalumu Sana? Ili uende ualimu kwa vyovyote vile ulifeli. Sasa failure unaanzaje kuleta tambo na nyodo?
 
Hii Serikali wasanii tu. Mke wangu ni Mwalimu wa Physics alikuwa anajitolea kufundisha shule moja kwenye Municipal moja,ajira zilivyotangazwa headmaster wa hiyo secondary akamuandikia recommandation kwamba anamuhitaji na ikipitishwa na DED. Ajira zilipotoka akapangiwa mkoa wa mbali huko yaan 2000km kutoka tulipo tena vijijini hata network ni shida. Kuna classmate wangu yupo TAMISEMI kanihangaikia ili abadilishiwe kashindwa anaambiwa ni maagizo kutoka juu hakuna kubadilisha. Hiyo ilikuwa 2017.
Yaani unajisikia Raha kuandika uongo wa kipuuzi Kama huu? Hakuna ncha yoyote ya Tanzania yenye kuwa na umbali wa km 2000 kutoka sehemu yoyote ndani ya nchi hii ya Tanzania. Halafu mkeo hajasomea kufundisha shule flani Bali amesomea ualimu, alitakiwa kwenda shule yoyote ambayo alipangiwa.

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Kujitolea au ku volunteer ni aina fulani ya cheap labour ambayo tusingeitegemea itokee miaka 60 baada ya kupata uhuru. Nalazimika kunukuu maneno ya marehemu Mzee Sita na Mzee Mwambulambo walipomwambia Mwalimu kuwa "ni heri wakati wa ukoloni"!
 
Hizi ajira zimekuwa za kiupendeleo sana,vijana wengi wapo mtaani na kuna uhaba mkubwa wa waalimu.
Mchague Lissu kwa ajira za waalimu
 
Yaani unajisikia Raha kuandika uongo wa kipuuzi Kama huu? Hakuna ncha yoyote ya Tanzania yenye kuwa na umbali wa km 2000 kutoka sehemu yoyote ndani ya nchi hii ya Tanzania. Halafu mkeo hajasomea kufundisha shule flani Bali amesomea ualimu, alitakiwa kwenda shule yoyote ambayo alipangiwa.

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app

Yaani hapa umzihirisha umbumbu wako wa kuitambua nchi yako.

Nimekudharau sana🚮
 
Yaani hapa umzihirisha umbumbu wako wa kuitambua nchi yako.

Nimekudharau sana[emoji706]
We dharau utakavyo lakini haitengui ukweli wowote juu ya hilo. Hata ungekuwa mtwara na mkeo akapelekwa bukoba bado haifikii km 2000. Kwa kifupi wewe ndiyo juha juu ya nchi yako. Na Ni ufala mkubwa kujiona unajua Kila kitu kumbe huna unalolijua. Kubali kujifunza uache kukaza fuvu!

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
K
Nyie mnaosema aende tu huko vijijini nyie mpo huko?

Sehemu ambayo haina maji, zahanati, unakuta kuna kaduka cha dawa kameandikwa jina tu, lakini ndani hakuna hata Aspirin!, unaweza vipi kuishi eneo kama hilo ukiwa na proper mind ili uweze kwenda kufundisha watoto darasani wakuelewe?

Kwanini hao watu wanaowaunganisha ndugu zao maeneo ya mijini wasiwapeleke na huko vijijini, kwani nao si wana tatizo la ajira, na ajira zipo huko mashambani kama mnavyosema, basi nao wapelekwe huko.

Vinginevyo mnaonekana selfish, mnamsukimia mwenzenu kijijini wakati nyie mko mijini, always talk is very cheap for the blind.

Ni bora mtu ujipange ufanye hata biashara, kama ni kilimo ujue mazao gani yana market eneo ulilopo, tembea kwenye mitandao kama huku JF kuna majukwaa kama la kilimo, biashara soma huko utapata idea zitakazo kuwezesha kupiga hatua kwenda mbele.

Kama suala ni mtaji unaweza tafuta watu muungane kikundi mchange pesa mfanye kitu, hizi ajira nyingi ni maumivu tu, mshahara mdogo halafu unapoteza muda mwingi, au unaweza kuifanya hiyo kazi ya ualimu kwa muda fulani ukishapata mtaji then wachana na hiyo kazi kafanye kitu kingine.
Kama unataka huduma za jamii kaa mjini kama unataka ajira kajitolee shule za bush
over
 
Hii Serikali wasanii tu. Mke wangu ni Mwalimu wa Physics alikuwa anajitolea kufundisha shule moja kwenye Municipal moja,ajira zilivyotangazwa headmaster wa hiyo secondary akamuandikia recommandation kwamba anamuhitaji na ikipitishwa na DED. Ajira zilipotoka akapangiwa mkoa wa mbali huko yaan 2000km kutoka tulipo tena vijijini hata network ni shida. Kuna classmate wangu yupo TAMISEMI kanihangaikia ili abadilishiwe kashindwa anaambiwa ni maagizo kutoka juu hakuna kubadilisha. Hiyo ilikuwa 2017.
Mwalimu Wa physics anakosaje Ajira???
Au GPA yake ndogo sana?
 
Ajira zinapangwa kulingana na uhitaji, huko bush ndiko kwenye uhitaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu anakomaa na jiji kama Shishi, alivyokataa harudi Igunga...

Shule za vijijini, unajitolea unaishi kwa mwenyekiti au mtendaji..
Huko au mwalimu mkuu au walimu wengine, inawezekana...

Vijana tunakomaa na jiji....

Everyday is Saturday....................... 😎
 
Lakini katika hali ya kawaida, iwapo kuna mtu alikubali kujitolea bure au kwa malipo kidogo na mkashikiana naye katika wakati mgumu, inapopatikana nafasi kwanini asianze kupewa yeye kwanza? Hilo mbona ni jambo la kawaida sana katika ofisi nyingi duniani? Na serikali imefanya hivyo mara nyingi tu katika miaka ya nyuma. Hata ofisi nyingi kuna watu wameajiriwa kupitia utaratibu huo kwahiyo si kitu kigeni wala.

Kama wewe ungekuwa na kampuni yako na mtu akaomba kujitolea kupata uzoefu. Katika kufanya hivyo akatoa mchango kwenye kampuni kuendesha kazi zake kwa gharama nafuu, ikipatikana fedha na unahitaji kuajiri utaacha kumfikiria kwanza? Tunapolaumu tujiulize pia kwanza.

Mimi naunga mkono hili la kuwaajiri kwanza wote ambsao walikubali kujitolea. nafasi zitakazobaki ndiyo wapewe ambao hawakufanya hivyo kwa ushindani wa kawaida.
Fikiria aliyemaliza chuo mwaka 2015, na akaanza kujitolea tangu mwaka huo. Hadi leo angekuwa na miaka mingapi anajitolea? Kwa hali ya kawaida huyo mtu utamchukuliaje?

Ni akili ya kawaida kudumu miaka mitano unafanya kazi ya kujitolea bila kulipwa hata senti moja wakati huo huo una matumizi ya kila siku?
 
Wananchi waliopo huko wanaishi vipi? Yaani wewe na kashahada kako ka ualimu ushajiona ni mtu maalumu Sana? Ili uende ualimu kwa vyovyote vile ulifeli. Sasa failure unaanzaje kuleta tambo na nyodo?
Aliekwambia nimesomea ualimu nani? nimejiweka kwenye nafasi ya mleta mada ili nifikishe vizuri ujumbe niliokusudia kwake.

Halafu tena ni nani aliekwambia kila aliesomea ualimu alifeli? unaonesha clearly kabisa ulivyo bogus.
 
K
Kama unataka huduma za jamii kaa mjini kama unataka ajira kajitolee shule za bush
over
Nimeshamwambia kuliko ahangaike na hizo ajira magumashi bora afungue ubongo wake afikirie plan B, nyie mnaoringia huo ualimu wa mjini kila siku mnalia hampandishwi madaraja na mishahara midogo, mnaishia kukopa tu kwa watu binafsi.
 
Wananchi waliopo huko wanaishi vipi? Yaani wewe na kashahada kako ka ualimu ushajiona ni mtu maalumu Sana? Ili uende ualimu kwa vyovyote vile ulifeli. Sasa failure unaanzaje kuleta tambo na nyodo?
Bila shaka wanao unawafundisha mwenyewe na mkeo ambao hamkufeli (Kama unao lakini, maana maoni haya hayawezi kutoka kwa rijali)
 
Back
Top Bottom