Serikali kuwajengea wamachinga jengo jipya Kariakoo

Serikali kuwajengea wamachinga jengo jipya Kariakoo

Mpaka ujenzi uishe watu watakuwa wameshazeeka Kwa njaa.
hiyo ni program ya miaka 3 mbele
Watu wanapiga program ya miaka 100 mbele, we unalalama ya miaka 3?!!! Kweli mama amewashika papaya na sasa mmebaki kuokoteza vijisababu hata visivyo na mashiko kulazimisha lawama
 
Mwenyezi Mungu ampe ngu zaidi na mambo yawe mwepesi kwa mama.Amen!
 
Amesema pia kuna mpango wa kujenga soko kubwa katika eneo la Jangwani.[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Udart si wamekimbia wenyewe hapo Jangwani na kutelekeza majengo?

Hawa wamachinga wanataka kutolewa kafara hapo msimu wa mvua.
 
Back
Top Bottom