Watu wanapiga program ya miaka 100 mbele, we unalalama ya miaka 3?!!! Kweli mama amewashika papaya na sasa mmebaki kuokoteza vijisababu hata visivyo na mashiko kulazimisha lawama
Kwani limebishiwa lini hili mkuu mbona mnapata tabu sana? Wenzake watakumbukwa zaidi.......we subiri tu, Mungu anatenda kwa maajabu sana na hakuna awesome kuzuia