Serikali kuweka siku ya jumamosi kuwa siku ya Usaili ni kuwakosea Haki Wahitimu waumini wa kisabato

Narudia tena kukujuza.

Hizi dini tulizaliwa tukazikuta na tutakufa tutaziacha so tuwe na kiasi.
 
Mimi naona ni sahihi zaidi kwa serikali kuendelea kuita wahitimu kwenye usaili siku ya jumamosi (kwa sababu ni siku ya mapumziko, kwa taasisi zingine ni siku ya kazi nusu siku na haiingiliani na shughuli nyingine nyingi za umma)..
Kwa upande wa pili hiyo ndio wake up call kwa waumini wa kisabato kuwa hiyo ajira wanayoitaka itawalazimisha kuitumia hata siku ya Jumamosi, hivyo mapema kabisa waikwepe.

Mwisho, mambo yote ni siasa tu, kama waumini wa kisabato watakuwa wengi sana katika nchi, serikali automatically itajikuta inapanga mambo yake kwa kuwazingatia hao waumini, maana serikali ni watu. Mfano mzuri ni kule Zanzibar, ambapo kwa kuwa wazanzibar wengi ni waislamu ikifika kipindi cha mfungo wa Ramadhan hata kula hadharani kipindi cha mchana ni marufuku!

Note:
Kikatiba serikali haina dini hivyo haiwajibiki popote kufuata au kuheshimu imani ya dini yoyote.
 
Dini hazijawahi jua na impacts ktk kuendeleza raslimali au kutupatia viongozi bora tz
 
Si kosa kumtii KAIZARI.
 
Huwezi kuta muislam anatoa maoni hivi.

Wakristo ndio hujitambulisha hivi.
Unajua maana yake?
Kitulize dogo. Hujui kitu. Hao ni cult wanatuattack kila jumamosi. Hawajielewi, kasome historia yao. Ni offshoots za CIA, na masonic lobbies. Mnadhani ni watu wa maana. Ogopa vidini vilivochipuka kutoka kwa watu binafsi.
 
Kwa imani yao wako sawa , serikali yangu pendwa isikilize madai yao kwani kila mtu yuko sahihi kwa anachokiamini.

Wote ni watanzania basi wasikilizwe .​
Hizi ratiba za weekend zinasaidia hata watumishi wengine kufika na kufanya hizo usaili bila kuomba rhusa.

Hata huko vyuoni kuna muda iwe ijumaa, jmos ama j2 pepa huwa zinapigwa.
 
Hizi ratiba za weekend zinasaidia hata watumishi wengine kufika na kufanya hizo usaili bila kuomba rhusa.

Hata huko vyuoni kuna muda iwe ijumaa, jmos ama j2 pepa huwa zinapigwa.
Serikali inaweza kuwajali watu wake kwa vile inaongoza watu wenye mitazamo na imani tofauti ,mbona kipind cha uchaguzi au sensa hupeleka nyama kwa wahadzabe ili washiriki?

Serikali ina haki ya kumjali kila kwa vile haina dini ila watu wake wana dini.
 
Hawa Wasabato waliwahi kuwa deregisterd pale SAUT kipindi cha VC Father Dk. Kitima na DVCA (Sasa Baba Askofu) Dk. Bernidine Mfumbusa walipokataa kufanya mitihani yao ya UE siku ya Jumamosi!
Sema huyo father alitumia ubabe tu na chuki naamini asingekubali UE ifanyike jumapili tena muda wa ibada pia huyo father alikuwa Haifa kuendesha chuo level yake ilifaa aendeshe seminar sema uzuri wangekata rufaa TCU na taasisi nyingine wangeshinda
 
Ijumaa ni siku yetu ya kuabudu na tuambiwa twende kazini kama kawaida.
 
Ninsahihi ni pamoja na kutenda kama hivyo, kuweka ratiba hata hizo weekend ni namna mojawapo ya kujali.

Kama wewe unajiona ni msabato subiria usaili utakaofanywa j3/ijumaa. Uzuri kuna hizo flexbility.

Kwanza ni matukio yanayotokea mara chache, ni sawa na dharura nyingine tu zinawafanya msiende sabato.

Ule sio utaratibu wa kudumu kusema umeondoa haki yenu ya kuabudu.
 
Mimi siku yangu ya Ibada ni J3 sijui nitasikilizwa.
 
Ndio hivyo waweze kuwajali hata wafanye siku nyingin ,nilikuwa nafikiria ni chaguo la mwisho.
 
Hawa Wasabato waliwahi kuwa deregisterd pale SAUT kipindi cha VC Father Dk. Kitima na DVCA (Sasa Baba Askofu) Dk. Bernidine Mfumbusa walipokataa kufanya mitihani yao ya UE siku ya Jumamosi!
Hakuna kitu kama hicho.
Labda huwafahamu vizuri.
 
Watanzania wengi tupo kwenye adui ujinga ndio maana unakuta tunaibiwa na kutajirisha watu wengine.sasa mtu hajuhi maana ya sabato kuwa ni kupumzika.nani alikwambia siku ya sabato ukaabudu??nani alikwambia siku ya sabato ni siku ya ibada.adui ujinga atatuandama mpaka lini??
 
sisi wasabato kilichobakia ni kuingia tu msituni kudai haki zetu maana system haipo upande wetu kabisa
 
NAFURAHIGI SANA. NA IJUMAA MNAVOWEKA VIKAO KUANZIA SAA ASUBUHI 09▪︎MPAKA SAA SITA NA NUSU NA ILIHALI MNAJUA IJUMAA JI SIKU YA IBADA KWA WAISLAM. ?
AND NO ONE CARES
 
Kitulize dogo. Hujui kitu. Hao ni cult wanatuattack kila jumamosi. Hawajielewi, kasome historia yao. Ni offshoots za CIA, na masonic lobbies. Mnadhani ni watu wa maana. Ogopa vidini vilivochipuka kutoka kwa watu binafsi.
hapana nakukatalia. staff mwenzetu alikua mkatolik akahamia kuwa mlokole.na jinsi navyomuona ana adherence na dini ni so different na other Christians. yule hata kuongea uongo anaogopa na anafunga siku 3 bila kula wala kunywa na maombi juu. na anashuhuda yanajibu.
dont attack people's faith useme ni kakikundi kadogo
 
Hawa wasabato ni kakundi kadogo sana ka watu wasiojielewa. Yesu alishaweka sabato mpya wao wapowapo tu kufata uongo wa Hellen G White.
hapana nakukatalia. staff mwenzetu alikua mkatolik akahamia kuwa mlokole.na jinsi navyomuona ana adherence na dini ni so different na other Christians. yule hata kuongea uongo anaogopa na anafunga siku 3 bila kula wala kunywa na maombi juu. na anashuhuda yanajibu.
 
Sema huyo father alitumia ubabe tu na chuki naamini asingekubali UE ifanyike jumapili tena muda wa ibada pia huyo father alikuwa Haifa kuendesha chuo level yake ilifaa aendeshe seminar sema uzuri wangekata rufaa TCU na taasisi nyingine wangeshinda
Kiufupi walienda hadi mahakamani. Na Mahakama ikasema hao Wasabato wana haki ya kufanya UE kama wengine, LAKINI bila kuathiri ratiba ya chuo na kalenda ya TCU. Wakapangiwa tena mitihani yao JUMAMOSI! Daaadeki! Unacheza na Kanisa Moja Katoliki la Mitume! Na Wasabato wagoma tena! Hapo ndio wakawa deregisterd!!

Wanafunzi wa Father Dk. Kitima wale wa Kitivo cha Sheria watakubaliana na mimi kwamba, yeye Father Dk. Kitima vipindi vyake vingi vilikuwa Jumapili asubuhi, ila baada ya kutoka Ibadani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…