Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #281
Ad hominem fallacy.
Ad statos delismos
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ad hominem fallacy.
Unaposema wakristo hawanaga siku ya sabato ...ina maana wakristo sio wasabato ?! Ila wasabato watu poa sana kuishi nao life style yao kuliko hii mikatoliki
Ata shetani huwa anajibu pia.hapana nakukatalia. staff mwenzetu alikua mkatolik akahamia kuwa mlokole.na jinsi navyomuona ana adherence na dini ni so different na other Christians. yule hata kuongea uongo anaogopa na anafunga siku 3 bila kula wala kunywa na maombi juu. na anashuhuda yanajibu.
Ndo inakuwaga hivyo, muhimu wasabato tujiajiri
Serikali kuweka siku ya jumamosi kuwa siku ya Usaili ni kuwakosea HAKI Wahitimu waumini wa kisabato.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Sabato Njema. (itikia Njema Sana).
Wahitimu wa kisabato wanasikitika baada ya baadhi Yao kukosa kwenda kwenye Usaili kutokana na siku iliyowekwa kwaajili ya Usaili ni siku ya ibada. Sikukuu ya Mungu wao wanaomuamini.
Ikumbukwe kuwa Sabato kwa waumini wa kisabato ni Moja ya amri kubwa na kuu wanaamini wameagizwa kuifuata na Mungu wao wakirejelea Torati ya Musa katika Biblia, katika Kutoka 20:8-11
Tunafahamu kuwa serikali huenda ilifanya kwa bahati mbaya kwa kusahaukundi hili la Wasabato. Na hatutaki kuamini kuwa imefanywa makusudi bila kujali au kwa kudharau Wasabato kwa Sababu zozote zile.
Wasabato sio Watu wakujihusisha na mambo ya siasa na kiserikali na hii huenda ni Moja ya sababu ya wao kusahaulika hata kwa mambo muhimu kama ya Ajira.
Mimi Kama Taikon Master, ambaye ni Msabato. Baada ya kupewa taarifa hiyo kwa kweli nilisikitika Sana. Nikaona kuinyamazia inaweza kujirudia na kuwafanya Wananchi wa Kitanzania, wanaoabudu katika dhehebu la Wasabato wanaweza kukosa Haki Yao kwa wakati Mwingine.
Serikali kupitia Wizara husika, ifuatilie Jambo hilo na kulifanyia marekebisho.
Taikon Acha nipumzike sasa.
Kesho tukutane, KANISA LA MWENGE SDA, DAR ES SALAAM.
SABATO NJEMA