Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Nikiwa chuoni kipindi hicho niliona "Tangazo Rasmi la Chuo". Labda kama walitudanganya. Maana tulikuwa tunaenda kucheki "supp" zetu hapo kwenye ubao wa matangazo na tangazo hilo likiwepo. Anyway, labda wewe unajua vizuri zaidi kuhusu hilo.Hakuna kitu kama hicho.
Labda huwafahamu vizuri.
Umeishiwa hoja unaleta viroja.
Yani unachotaka wewe ni sawa na wanafunzi wa kiislamu waishinikize serikali kwamba Ijumaa wasiende shule kwa vile wanafunzi wenzao wa kikristo hawaendi shule jumapili.
Unataka haki kwa namna hiyo hapo.
Serikali haifanyi kazi kwa kuangalia imani za watu.
Imani zako za kidini usilete kwenye mambo ya kiserikali.
Hawa nao sometimes ni kama Waislamu tu, umekwenda kusoma chuo cha Kikatoliki, dhehebu ambalo umekua unalituhumu kiimani kila siku, unasoma hapo halafu unakuja na sheria zako za Kisabato; anyway, RC ni watu sana kwa mambo ya kijamii, kwani wakiamua pia kupika kitimoto, utawafanya nini?Hawa Wasabato waliwahi kuwa deregisterd pale SAUT kipindi cha VC Father Dk. Kitima na DVCA (Sasa Baba Askofu) Dk. Bernidine Mfumbusa walipokataa kufanya mitihani yao ya UE siku ya Jumamosi!
Wangeenda tena wangishinda tena maana chuo sio taasisi ya mfukoni kama huyo father kitima alivyokuwa anajaribu kufanyaKiufupi walienda hadi mahakamani. Na Mahakama ikasema hao Wasabato wana haki ya kufanya UE kama wengine, LAKINI bila kuathiri ratiba ya chuo na kalenda ya TCU. Wakapangiwa tena mitihani yao JUMAMOSI! Daaadeki! Unacheza na Kanisa Moja Katoliki la Mitume! Na Wasabato wagoma tena! Hapo ndio wakawa deregisterd!!
Wanafunzi wa Father Dk. Kitima wale wa Kitivo cha Sheria watakubaliana na mimi kwamba, yeye Father Dk. Kitima vipindi vyake vingi vilikuwa Jumapili asubuhi, ila baada ya kutoka Ibadani!
Kaa kwa kutulia heshimu mamlaka.Nilikuuliza Waislam unajua Quran unawaambia nini kuhusu siku ya ijumaa hukunijibu.
Unazungumzia mambo yaliyokuzidi uelewa.
Uislam huujui, lakini unakiherehere kuutaja.
Ukristo huujui, lakini unakaza mishipa ya shingo kuzungumzia.
Usabato ndio Kabisa huuelewi lakini unatoa porojo zako.
Wewe Jambo gani unalijua ili labda kupitia Hilo tulijadili nawe uwe na Tija kwa kile unachokijua?
Uliomba serikali iruhusu wanafunzi wavae hijabu mashuleni waka ruhusiwa.Ni kweli kuvaa hijabu ni haki ya kikatiba kimavazi ila hiyo haki iko wapi ?!!
Haki hii ipo katika SARE za wanafunzi ?!!
Kwa hiyo hijabu zinazivaliwa na wanafunzi haziko katika kundi la SARE ?!!
Kama sivyo basi ni sare gani yenye taswira tofauti kwa "wanasare" wamoja ?!! Ha ha ha mbona haturuhusu hayo katika sare za MAJESHI yetu ?!!
Alamsiki binnuur!
Unaposema wakristo hawanaga siku ya sabato ...ina maana wakristo sio wasabato ?! Ila wasabato watu poa sana kuishi nao life style yao kuliko hii mikatolikiSheria za Uislam zinazungumzia nini kuhusu siku ya ibada?
Buddha?
Hindu
Wakristo hawanaga siku ya Sabato na hawaifuati.
Siku Yao ya IBADA ni Jumapili lakini hawakatazwi kutokufanya Kazi
Ad hominem fallacy.Unacheo chochote serikalini?
Au umestaafu?
Au unatazamia?
Mkuu uwe na tabia ya kusoma maneno BETWEEN LINES na kuuelewa mtiririko wa hoja .....ni kana kwamba hutulii na kufuatilia vyema nilichokiandika....wapi nimeomba serikali iruhusu hijabu majeshini?!!Uliomba serikali iruhusu wanafunzi wavae hijabu mashuleni waka ruhusiwa.
Sasa unataka nini zaidi?
Kwamba na jeshi liache utaratibu wake wa kimavazi, Lije lifuate imani za watu kimavazi jeshini?
Mkipewa uhuru kidogo mnataka kuvuka mipaka na kuingiza imani zenu kwenye taasisi za kiserikali zifuate matakwa yenu ya kiimani.
You ain't serious.
Kama ambavyo Jumapili ni mapumziko na interview za bot wanaendaLakini kiserikali jumamosi ni siku ya mapumziko kama ilivyo jumapili; ilikuwaje wakaitisha usaili...!!???
Kama hawataki kusailiwa wasiende mkuu mambo ni mengi taasisi imetingwa na kazi nyingi kuna ijumaa wa islam ☪️ nao walalamike mkuu kuna wasaili na wasailiwa wa kiislamSerikali kuweka siku ya jumamosi kuwa siku ya Usaili ni kuwakosea HAKI Wahitimu waumini wa kisabato.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Sabato Njema. (itikia Njema Sana).
Wahitimu wa kisabato wanasikitika baada ya baadhi Yao kukosa kwenda kwenye Usaili kutokana na siku iliyowekwa kwaajili ya Usaili ni siku ya ibada. Sikukuu ya Mungu wao wanaomuamini.
Ikumbukwe kuwa Sabato kwa waumini wa kisabato ni Moja ya amri kubwa na kuu wanaamini wameagizwa kuifuata na Mungu wao wakirejelea Torati ya Musa katika Biblia, katika Kutoka 20:8-11
Tunafahamu kuwa serikali huenda ilifanya kwa bahati mbaya kwa kusahaukundi hili la Wasabato. Na hatutaki kuamini kuwa imefanywa makusudi bila kujali au kwa kudharau Wasabato kwa Sababu zozote zile.
Wasabato sio Watu wakujihusisha na mambo ya siasa na kiserikali na hii huenda ni Moja ya sababu ya wao kusahaulika hata kwa mambo muhimu kama ya Ajira.
Mimi Kama Taikon Master, ambaye ni Msabato. Baada ya kupewa taarifa hiyo kwa kweli nilisikitika Sana. Nikaona kuinyamazia inaweza kujirudia na kuwafanya Wananchi wa Kitanzania, wanaoabudu katika dhehebu la Wasabato wanaweza kukosa Haki Yao kwa wakati Mwingine.
Serikali kupitia Wizara husika, ifuatilie Jambo hilo na kulifanyia marekebisho.
Taikon Acha nipumzike sasa.
Kesho tukutane, KANISA LA MWENGE SDA, DAR ES SALAAM.
SABATO NJEMA
Heshimu mamlaka.Mkuu uwe na tabia ya kusoma maneno BETWEEN LINES na kuuelewa mtiririko wa hoja .....ni kana kwamba hutulii na kufuatilia vyema nilichokiandika....wapi nimeomba serikali iruhusu hijabu majeshini?!!
Mimi ni muumini wa serikali yenye usekula tu.....
Ni tabia ya ajabu mtu kujifanya kushambulia hoja zinazotokana na ukinzani wa mabishano kichwani mwake.....
Sote ni wazalendo na usijimilikishe uzalendo peke yako na kuhofu hoja na mitazamo ya wengine kama hao ndugu zetu SDA....
Angalau zimepungua . Wewe huna akili kabisa. Plug hazichomiNafikiri wewe ni:
punguani
mtu aliyepungua akili
PUNGUANI - Translation in English - bab.la
Translation for 'punguani' in the free Swahili-English dictionary and many other English translations.en.bab.la
Mamlaka ni lazima iheshimiwe....umekwenda mbali sana kwa kutuhumu hao watanzania wenzako....all and all serikali yetu adhimu ni ya KISEKULA ila watu wake wana dini zao.....Heshimu mamlaka.
Serikali haiwezi kuacha kufanya kazi zake kwa kigezo cha imani au dini za watu.
Kwa hiyo hata usaili ukipangwa ijumaa, jumamosi au jumapili. Usilalamike kama huyu mleta mada anayeona hapewi haki yake.
Yani anataka serikali ifanye kazi zake kulingana na imani zake.
Kama hawataki kusailiwa wasiende mkuu mambo ni mengi taasisi imetingwa na kazi nyingi kuna ijumaa wa islam ☪️ nao walalamike mkuu kuna wasaili na wasailiwa wa kiislam