Serikali kuweka siku ya jumamosi kuwa siku ya Usaili ni kuwakosea Haki Wahitimu waumini wa kisabato

Ata shetani huwa anajibu pia.
 
Ndo inakuwaga hivyo, muhimu wasabato tujiajiri
 

Kwani Zanzibar kuna Wasabato wangapi?

Sungura akiweza kumbeba tembo itakua ni mateso sana kwa Tembo maana atarushwa rushwa sana.
Lakini Tembo akimbeba sungura basi anainjoi kwa mwendo wa taratibu bila kuruka ruka .

Tazanganyika haiongozwi kwa misingi ya dini na haina dini labda huko Zanzibar ndio hata kula kwenye mfungo wa Ramadhan ni kosa na unaweza ukachwapwa bakora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…