Serikali ndio mwenye jukumu la kusaidia watoto wako?
Watoto wako ni jukumu lako
Inakuaje unamuamini mwanasiasa ambae ni mpumbavu kama wewe akuangalizie mwanao?
Wewe kazi yako ni nini dunia hii kama ni mpaka mwanasiasa alieoko kwenye ofisi ya serikali akusaidie wewe jukumu lako wakati yeye binafsi watoto wake ni hovyo zaidi hata ya wa kwako?
Na mwanasiasa amekosa kazi vipi mpaka afatilie watu wazima wanafanya nini kwenye simu zao private?
Unafatilia mtu mzima anaangalia picha za uchi kwenye simu yake sijui ufaidike nini na kwa lipi hasa?
Maana wewe mwanasiasa ni pumbavu,zinzi,malaya kama wanadamu wengine,kwanini unafatilia na kutumia kodi za serikali kuzuia mtu mzima kufanya mambo yake yanamuhusu yeye binafsi ya utu uzima?
Tunazungumzia watu wazima hapa,watombe,watombwe,waangalie nani anatombwa na nani,wewe una police them for what?Watu wazima ni watoto?
Na kuhakikisha mtoto hana simu ni jukumu la serikali au wewe mzazi husika?
Kama tunaenda hivi itafikia pahala serikali itafatilia nani kamtomba nani,kamtomba staili gani na kwanini na saa ngapi na kala au kunywa nini,yote hii ni nonsense!
Ni hawa viongozi kukosa kazi za kufanya za kuleta maendeleo na kusimamia hasa kinachowahusu ambacho ni to make hard decisions to change this economy na sio kuangalia leo mtu mzima mwenye miaka 30 kapitia page za ngono zipi
Nonsense kabisa