Serikali kuzuia website za XXX ni kuingilia uhuru wa wananchi wake

Serikali inaendekeza NGONO na kujali mambo ya kipuuzi kuliko vitu vya msingi.
Katafute definition ya neno "kuendekeza".

Serikali ingekuwa inaendekeza ngono basi ingeacha hizo websites zifanye kazi.
Imezuia sababu haiendekezi ngono bali inapinga ngono ila bila shaka inajua wananchi ndio wanaoendekeza ngono hivyo solution ni kuzipiga ban.

Na serikali sio kitu pekee chenye jukumu la kufanya nchi ipate maendeleo na kuendelea bali na mwananchi pia ana jukumu hilo.
Yaani wananchi wanaendekeza ngono alafu unategemea nchi iendelee kwa kutegemea serikali pekee?

Nikuulize swali kwanini na nini kimekufanya umekuja kulalamika hapa?
 
Mimi hao huwa hawanipi mzuka kabisa, mimi ni mzee wa Homemade videos, yaani nikiona kitu homemade huwa napoteana kabisa.
Aisee one day nimeangalia home made ya mzungu kamuinamisha mke wake anapiga mashine mara katoto hako kanukuja huku kanalia. Mwanaume akakikmbia alafu mke wake akabaki anacheka..

🤣🤣Home made is a real entertainment
 
Ukiacha mambo ya imani, hata tafiti za kitabibu zinaonyesha kuwa video za ngono ni mbaya kwenye utendaji kazi wa mwili na akili ya mwanadamu. Wamefanya sahihi kuzifungia, zinaharibu sana watoto na vijana wadogo kabisa. Uhuru bila mipaka ni utumwa.
 
Mleta mada bila shaka hata wewe umeingilia uhuru wa familia yako unayoishi nayo hapo kwako,

Kama vipi uwe unawawashia kwenye tv hizo porno ili wawe wanaangalia na sauti uweke kubwa ili wafaidi vizuri,

Huo uhuru uanzie kwenye familia yako kwanza.
Umesema kweli tupu,familia yake,anaizuia iangalie, hawawapi uhuru.
 
Wewe familia yako unawapa uhuru wa kuangalia hivyo vitu,ukiwa nao pamoja?
 
Umesema kweli tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…