Serikali kuzuia website za XXX ni kuingilia uhuru wa wananchi wake

Habari wadau..!
Binafsi sio muangaliaji wa hizo picha wala video huko nilishapita zamani na nimeoa nina familia ila mara moja moja huwa naingiaga ili kufanya review ya mapigo mapya ya kupractice katika yalee mambo yetu ya mshedede.

Nasikia S/kali imezuia hii mitandao ya XXX binafsi nipo na mtazamo tofauti naona kama ss S/kali imeanza kuongozwa kidini wakati serikali yetu inajitanabaisha kwamba haina dini,nadhani huku ni kuingilia uhuru wa watu kitu ambacho si kizuri .

Nikuingilia uhuru wa wahuni
 
Bila Pornhub na Porn Site Mambo hayaendi kabisa tushazoea baada ya kutoka kwenye pilapila za kutafuta hela tunapumzika nyumbani huku tukiburudika kuangalia Porno

Raha tunazipata kwa kuangalia Porno sasa walivyofungia dah tunakosa mengi sana
Tunanyimwa haki yetu ya Kuangalia porno
Porno zimenisaidia kutimojihusisha na mahusiano mpk nilipomaliza chuo ndio nikaoa,bila hizi hata form 4 nisingemaliza😂😂😂
 
Habari wadau..!
Binafsi sio muangaliaji wa hizo picha wala video huko nilishapita zamani na nimeoa nina familia ila mara moja moja huwa naingiaga ili kufanya review ya mapigo mapya ya kupractice katika yalee mambo yetu ya mshedede.

Nasikia S/kali imezuia hii mitandao ya XXX binafsi nipo na mtazamo tofauti naona kama ss S/kali imeanza kuongozwa kidini wakati serikali yetu inajitanabaisha kwamba haina dini,nadhani huku ni kuingilia uhuru wa watu kitu ambacho si kizuri .
Tumia vpn
 
Hapa nadhani serikali ilipaswa kutunga sera za kuzimonitor hizi website na wala sio kuzuia kabisa maana itaenda kuathiri sekta ya mawasilaino sababu matumizi ya bundle za internet yatapungua hivyo inaweza ikawa pigo lingine kwa makampuni ya simu ,yaani bora wangeweka Tozo kuliko kuzuia kabisa.

Sasa tutarajie kuibuka tena kwa vibanda umiza vya XXX kama zama zile za 1990's na kuibuka kwa soko la ndani la waigizaji wa hizi sinema maana demand itakuwa kubwa sana nchini .
Watumie VPN
 
Back
Top Bottom