johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mkurugenzi wa Jiji la Dar es salaam Jumanne Shauri amesema katika jiji lake kwa sasa darasa moja wanakaa wanafunzi kati ya 35 hadi 40 ndio maximum. Shauri amesema katika awamu iliyopita darasa moja lilichukua kati ya wanafunzi 70 hadi 80.
Shauri amemshukuru sana Rais Samia kwa uwekezaji mkubwa alioufanya kwenye madarasa ambapo Jiji lake sasa linajenga shule 16 mpya zote za ghorofa.
Source: ITV habari
Maendeleo hayana vyama.
Shauri amemshukuru sana Rais Samia kwa uwekezaji mkubwa alioufanya kwenye madarasa ambapo Jiji lake sasa linajenga shule 16 mpya zote za ghorofa.
Source: ITV habari
Maendeleo hayana vyama.