robinson crusoe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2020
- 762
- 1,236
JPM anastahili sifa! Kikwete aliwaacha watoto wakikaa mavumbini tangu darasa la kwanza hadi la 7, na akaendselea kupiga smile tu!Karipoti mkurugenzi wa jiji la Dar mkuu, hawezi kuongelea mikoa/miji mingine ambayo haipo kwenye mamlaka yake.
Back to the topic; kwangu mimi issues za madarasa tuweni wakweli, mwenye uthubutu hu sio awamu hi, ni JPM huyu ndio muasisi; changamoto alizozikuta na jinsi alivyo tatua kwa muda mfupi zilikua nyingi.