kingkimwe
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 1,839
- 2,481
Itakuwa Burundi hiyo!
Uyo mkuruhenzi alietoa tamko ndo wa Burundi iyo dar mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa Burundi hiyo!
Huko sio Jiji la Dar es salam mkuu muwe mnaelewa au mmesahau mabadiliko yaliyofanywa na shujaa wetu. Huko ni Halmashauri ya Ubungo, hadhi sawa kama namtumbo tu au Kilindi😆ACHENI maneno maneno.
Njooni hapa shule ya Upendo kesho tarehe 19/1/2022 hapa Mbezi mwisho.
Darasa la pili wako watoto 400 wanarundikwa kwenye vyumba vitatu.
Kila chumba kina wanafunzi 130.
ACHENI UNAFIKI. NINYI MMETEMBELEA OLIMPIO, BUNGE NA MNAZI MMOJA.
NJOONI HUKU WANAKOKAA WANANCHI.
NA NINYI WAANDISHI WA HABARI, MSIANDIKE HABARI ZA KUAMBIWA NA VIONGOZI AMBAO HAWAKUPIGIWA KURA HALALI KABLA YA KWENDA KUANGALIA SITUATION ON THE GROUND.
KARIBUNI UPENDO NA MBEZI SHULE ZILIZOPO MBEZI LUIS, WILAYA YA UBUNGO. DAR
Shujaa ndo kaleta hili balaa. Ni shujaa wenu huyu ndio muasisi wa mtizamo huu.Kuna haja gani ya kusema awamu iliyopita, si useme tuu miaka ya nyuma, tabia za kujipendekeza hizi
ACHENI maneno maneno.
Njooni hapa shule ya Upendo kesho tarehe 19/1/2022 hapa Mbezi mwisho.
Darasa la pili wako watoto 400 wanarundikwa kwenye vyumba vitatu.
Kila chumba kina wanafunzi 130.
ACHENI UNAFIKI. NINYI MMETEMBELEA OLIMPIO, BUNGE NA MNAZI MMOJA.
NJOONI HUKU WANAKOKAA WANANCHI.
NA NINYI WAANDISHI WA HABARI, MSIANDIKE HABARI ZA KUAMBIWA NA VIONGOZI AMBAO HAWAKUPIGIWA KURA HALALI KABLA YA KWENDA KUANGALIA SITUATION ON THE GROUND.
KARIBUNI UPENDO NA MBEZI SHULE ZILIZOPO MBEZI LUIS, WILAYA YA UBUNGO. DAR
Umenikamata pabaya. Asante kwa kumbukumbuHuko sio Jiji la Dar es salam mkuu muwe mnaelewa au mmesahau mabadiliko yaliyofanywa na shujaa wenu. Huko ni Halmashauri ya Ubungo, hadhi sawa kama namtumbo tu au Kipindi😆
Iliyopita,ile awamu ya laana, ya Mhe Jinamizi.Awamu iliyopita ama zilizopita? aseee