johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mkurugenzi wa Jiji la Dar es salaam Jumanne Shauri amesema katika jiji lake kwa sasa darasa moja wanakaa wanafunzi kati ya 35 hadi 40 ndio maximum. Shauri amesema katika awamu iliyopita darasa moja lilichukua kati ya wanafunzi 70 hadi 80.
Shauri amemshukuru sana Rais Samia kwa uwekezaji mkubwa alioufanya kwenye madarasa ambapo Jiji lake sasa linajenga shule 16 mpya zote za ghorofa.
Source: ITV habari
Maendeleo hayana vyama.
Jiji la Dar es salaam lilikuwa linaongozwa na Chadema!Utadhani serikali ilikuwa inaongzwa na CHADEMA. Shame on you
Itakuwa Burundi hiyo!View attachment 2086569
Dar iyo mzee
CHADEMA wanakusanya kodi?Jiji la Dar es salaam lilikuwa linaongozwa na Chadema!
Tanzania ni visasi kila siku havitaisha na magufuli aliwashika pabaya sana ndio maaana ssa wanakula kwa urefu wa kamba yaoAwamu iliyopita ama zilizopita? aseee
Tena ni aibu kubwa snMadarasa bila Elimu bora kwa ajili ya kesho ni hasara
Serikali iwekeze kwa ajili ya kesho tusiyoijua.
Wanafunzi wanafundishwa vitu vilivyopitwa na muda
Walikuwa wanakusanya ushuru wa parking!CHADEMA wanakusanya kodi?
Karipoti mkurugenzi wa jiji la Dar mkuu, hawezi kuongelea mikoa/miji mingine ambayo haipo kwenye mamlaka yake.Kwako nchi ni dar es salaam tu tena kwa miaka zaidi ya arobaini. Tanzania na afrika tuna aina mpya za ukichaa.
Kuna walimu wapya wameajiriwa?Mkurugenzi wa Jiji la Dar es salaam Jumanne Shauri amesema katika jiji lake kwa sasa darasa moja wanakaa wanafunzi kati ya 35 hadi 40 ndio maximum. Shauri amesema katika awamu iliyopita darasa moja lilichukua kati ya wanafunzi 70 hadi 80.
Shauri amemshukuru sana Rais Samia kwa uwekezaji mkubwa alioufanya kwenye madarasa ambapo Jiji lake sasa linajenga shule 16 mpya zote za ghorofa.
Source: ITV habari
Maendeleo hayana vyama.
Sasa kuna Uzalo!Nchi hii tamu sana kama tamthilia ya isidingo the need
Kwa nini unalinganisha na awamu iliyopita? Samia hakuwa serikalini? Linganisha na awamu ya Kikwete ambayo watoto walikaa chini tangu darasa la kwanza hadi la 7.Mkurugenzi wa Jiji la Dar es salaam Jumanne Shauri amesema katika jiji lake kwa sasa darasa moja wanakaa wanafunzi kati ya 35 hadi 40 ndio maximum. Shauri amesema katika awamu iliyopita darasa moja lilichukua kati ya wanafunzi 70 hadi 80.
Shauri amemshukuru sana Rais Samia kwa uwekezaji mkubwa alioufanya kwenye madarasa ambapo Jiji lake sasa linajenga shule 16 mpya zote za ghorofa.
Source: ITV habari
Maendeleo hayana vyama.
Kwani awamu iliyopita ni lini?Kwa nini unalinganisha na awamu iliyopita? Samia hakuwa serikalini? Linganisha na awamu ya Kikwete ambayo watoto walikaa chini tangu darasa la kwanza hadi la 7.