Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
- Thread starter
-
- #61
Heri wafe hao wasiojijali, ila tatizo wataambukiza wengine ambao siyo familia yao peke yao!Jifungie wewe na familia yako kama unataka!! Hapo hakuna wa kukuambukiza !. Kuna aliyekuzuia kujiwekea lockdown?? Watanzania wengi ni wanafiki!! Utaikuta mtu anailalamikia serikali lakini mwenyewe hana hata habari ya barakoa!
Tahadhari ni muhimu lakini tunamshukuru Mungu Tanzania corona haipo kivile!! Ikiwepo utaiona tu!! Tumshukuru Sana Mungu kuwa kutunusuru. Tumshukuru pia Rais wetu kuwa kutuongoza vizuri kwenye kuikabili corona.Hapo usishangae baada ya wiki mbili tukaaanza kuimba ule wimbo wa tumpeleke tumpelee
Nimeona ni kama title haiendani na kilichomo ndani. Nilidhani labda ni taasisi fulani ndiyo imeilaumu serikali, kumbe ni mawazo yako tu mwanajf? Wakati mwingine title iendane na maudhui yaliyomo ndaniWatu walikuwa wengi kwelikweli, ni maelfu ya watu wamekusanyika kwa ajili ya kushiriki mashindano ya Kilimanjaro Marathon. Miongoni mwao wapo ambao hawakuvaa barakoa kabisa, na wamo amabao walizivaa na kuzivua....
Kati ya watu 10 waliolike hii thread hakosekani muuza majeneza maana kwa mkusanyiko huo na hii hali.Watu walikuwa wengi kwelikweli, ni maelfu ya watu wamekusanyika kwa ajili ya kushiriki mashindano ya Kilimanjaro Marathon. Miongoni mwao wapo ambao hawakuvaa barakoa kabisa, na wamo amabao walizivaa na kuzivua....
Chama Cha Riadha Kenya kiliwakata wanariadha wake kushiriki. Mikusanyiko ingezuiwa kwa sasa
Mkuu huyohuyo Mungu ndiye anampa binadamu maarifa ya kukabiliana na mambo.....tusimtwishe mzigo mkubwa Mungu wakati kuna baadhi ya mambo tunaweza kujisaidiaHivi mpaka leo Kuna watu wanaamin barakoa zinasaidia eeh
Me nawashaur tu ikiwezekana hameni nchi nenden huko wanakoo vaa hizo barakoa na hawana misongamano
Kwa usalama wenu zaidi
Yaan tatizo watu hatuna shukran tunaangalia upinzan tu anayetupony corona ni MUNGU sio hizo barakoa
Mkuu wewe chakufanya chukua familia yako jifungie ndani, vaa balakoa na kaambali na mikusanyiko.Ila watanzania tunastahili lawama kwa kiwango cha juu sana, haiwezekani pamoja na taarifa zote kuhusu Corona zinazosambaa kwenye mitandao na vyombo vingine vya habari japo huko wanaita "nimonia", bado kuna watu hawachukui tahadhari mpaka leo....
Elimu, una shida ya kupata elimu juu ya corona kama walivyo wananchi wengi.Huu ni uthibitisho kuwa hakuna corona kivile!! Viwanja vya mpira vinajaa kila weekend!! Kwenye dala dala hakuna cha siti levo! Sokoni ndio usiseme!! Mashuleni, vyuoni!! Kama tungekuwa na corona yenyewe, ndani ya wiki moja pasingekalika!! Vifo havifichiki!! Vifo tunavyoshuhudia ni vya kawaida...
Bwashee kwani chadema wana nini cha mno kutuzidi sisi makapuku wengine?Halafu kuna kajamaa kana bendera ya Chadema.
Mkuu, naona ulitaka wakimbie wakiwa wamevaa barakoa!Watu walikuwa wengi kwelikweli, ni maelfu ya watu wamekusanyika kwa ajili ya kushiriki mashindano ya Kilimanjaro Marathon. Miongoni mwao wapo ambao hawakuvaa barakoa kabisa, na wamo amabao walizivaa na kuzivua.