Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
- Thread starter
- #61
Heri wafe hao wasiojijali, ila tatizo wataambukiza wengine ambao siyo familia yao peke yao!Jifungie wewe na familia yako kama unataka!! Hapo hakuna wa kukuambukiza !. Kuna aliyekuzuia kujiwekea lockdown?? Watanzania wengi ni wanafiki!! Utaikuta mtu anailalamikia serikali lakini mwenyewe hana hata habari ya barakoa!
Au unadhani korona inaishia kwa mwenye kuipata tu? - Tatizo ni kuwa hao wasiojijali watasambaza korona kwa wingi zaidi wakirudi makwao