Jifungie wewe sisi tuache tuendelee na maisha yetu. Mlitaka Kili Marathon isifanyike ili nyinyi na mabwana zenu mtoe taarifa kuwa Kili Marathon haikufanyika kwa sababu ya corona.Tatizo moja tulilonalo watanzania, huwa tukiwaza korona tunafikiria mtu mmoja mmoja huwa hatuwazi hatari ya huyo mtu mmoja kwa wengine....
Imekula kwenu na bado mwezi ujayo corona hutaisikia tena hapa TZ. Endelea kulalamika as if unalipwa kwa kulalamika....!!