Uchaguzi 2020 Serikali: Lissu amedanganya, hakuna kikao cha Wakurugenzi Nchi nzima kilichofanywa na Rais Magufuli

Uchaguzi 2020 Serikali: Lissu amedanganya, hakuna kikao cha Wakurugenzi Nchi nzima kilichofanywa na Rais Magufuli

Informer

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2006
Posts
1,606
Reaction score
6,672
Kinachokanushwa ni alichoongea Lissu hapa: Uchaguzi 2020 - Mgombea Urais kukutana na wasimamizi wa uchaguzi kipindi cha Kampeni inakubalika kisheria?

43C1B2F6-8BAD-4BCD-85D0-72CAD831BBD9.jpeg

4EDD7F26-53AC-4D3B-8E7F-6990BED84069.jpeg
 
Mbona wametumia nguvu kubwa sana kukanusha..[emoji848]
Na sikuzote si huwa wansema kwamba serikali haiwezi ikajibu hoja na propaganda za kwenye mitandao..[emoji849]
Ama basi kukanusha huko ndio tujue kwamba nawao wanafuatilia maneno ya Lisu...[emoji2955]
Haya, basi hili nalo wakanushe kwamba hakulala Mwitongo Butiama...
View attachment 1582438View attachment 1582439
 
Hivi si waliwahi kukanusha kuwa hawakuiba pesa za EPA na kuzitumia kwenye uchaguzi? Zélia Megji alidai zilitumika kwa shughuli za kiusalama, mbona Makapa kakubali katika kitabu chake kuwa waliziiba. Tuwape muda, watakiri baadaye.
 
Barua hyo katika paragraph ya 4 hajaonyesha kutuunganisha Bali kutugawa..Mtumishi wa Umma anaandika barua kama mgombea wa Chama fulani.

Halafu hyu katibu mkuu anakatibu nini mbona fisigisu za uchaguzi wa serikali za MiTAA hatukuona wakitoa barua za kuonya dhuluma iliyokuwa inachezwa!!Kodi zetu mlipwe halafu kweny haki Mtutenge kwanini?
 
Back
Top Bottom