Tamisemi wanawakilisha barua kwa njia ya mipasho,wanasahau kuwa zile ni ofisi za umma.
Vipi Safari hii mtakataa kuwapa Mawakala viapo vyao.
Eti wakurugenzi wapo kazini kutimiza wajibu wao, mnapofunga ofisi za umma wapinzani wanapokuja kupata huduma ,maswali ni mengi kwenu enyi wakurugenzi.
Vipi mpo tayari kuwatangaza wapinzani kuwa washindi ,maana mlishaonywa ,nikupe Mshahara nikupe na gari kisha umtangaze mgombea wa upinzani kashinda.
Mmeharibu sana taswira yenu mbele ya jamii kwa kujinasibisha na CCM.