Uchaguzi 2020 Serikali: Lissu amedanganya, hakuna kikao cha Wakurugenzi Nchi nzima kilichofanywa na Rais Magufuli

Uchaguzi 2020 Serikali: Lissu amedanganya, hakuna kikao cha Wakurugenzi Nchi nzima kilichofanywa na Rais Magufuli

Ili tuamini tuambiyeni ni nani alichomoa zile CCTV camera pale Dodoma Tundu Lissu alipo pigwa risasi na nani aliwaondoa wale walinzi?
Unataka nani akujibu..
Dr Hassan Abbas in his capacity kama Msemaji wa Serikali au
Eng.Joseph Nyamhanga in his capacity kama Katibu mkuu wa Tamisemi
 
KANUSHO Kutoka Ofisi ya Rais-TAMISEMI Kuhusu Taarifa iliyotolewa na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Antiphas Lissu
IMG_20200927_131616.jpg
IMG_20200927_131618.jpg
 
Ninaanza kupata mashaka na utendaji kazi wa idara ya mawasiliano ya serikali.
Hivi kwanini inapoteza Muda kujibu pumba ambazo hata under18 anaweza kuzitambua?

Nikweli Wamekosa Mambo mhimu ya kulisemea taifa?

Je hawajui yakuwa dawa ya maneno ya mpuuzi nikuya mpuuza?

Ushauri wangu kwa serikali: Msitumie nguvu nyingi kujibu hoja za wanasiasa wapuuzi puuzi hasa kipindi hiki Cha Kampeni kilichojaa uzwa uzwa na uongo badala yake wapuuzeni na mjikite kwenye Mambo mhimu ya taifa.
 
Jambo muhimu kwa Taifa ni kuchapisha vitambulisho vya wamachinga visipungue milioni 12

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Aliyesema hataleta maendeleo kwenye halmashauri zenye wagombea wa upinzani mbona hamkukanusha.

Huyu ndio anatugawa ..
 
Kazi kweli kweli tutashuhudia mengi only time will tell us.
 
Mtu laghai anataka kuaminisha watu kuwa Lissu na watoto wake wana uraia pacha. Naamini anayoyasema yamejaa uongo.
Kwa nini huyu Polepole anadai kijana wao ameuwawa na wapinzani kule Njombe?
 
Huyo Lissu keshaona moto wa Magufuli auwezi kilichobaki sasa ni kutunga uongo anajua wazi awezi mshinda Magufuli.
 
Magufuli bado hajawa raisi iweje mnaanza kutetea ishu ambayo haimwuhusu? Subiri baada ya October 28 ndipo mnaweza kuja na kauli
 
Wewe nae fala tu!!Sasa unategemea serekali ikiri kuwa ni kweli imefanya uhuni?!MATAGA mna mabichwa maaaaaaakubwaaaa halafu akili za kufikiri ni zero!
 
Acheni upuuzi, mke wa shemeji yangu ni DED na leo yupo njiani anatoka dodoma amenipigia atafikia kwangu then kesho aanze safari kurudi kwake

Sijui ccm huwa mna matatizo gani jamani, semeni ukweli once and for all, kwani shida ipo wapi?
Rafiki atakapofikia hapo kwako muulize huko Dodoma wamekubaliana watatumia mbinu gani katika kupata kura za maruhani then uje uandike hapa halafu tumfikishie taarifa Mheshimiwa Rais wetu Tundu Lissu
 
Hakuna mwizi ambaye hukiri hata pale anapokamatwa akiiba. CCM ni wezi waliokubuhu. Wakurugenzi tunaishi nao huku. Na wengine pia wanataka mabadiliko. Habari kuhusu mkutano wa Magufuli na wakurugenzi haiwezekani kuificha.
 
Mbona wametumia nguvu kubwa sana kukanusha..[emoji848]
Na sikuzote si huwa wansema kwamba serikali haiwezi ikajibu hoja na propaganda za kwenye mitandao..[emoji849]
Ama basi kukanusha huko ndio tujue kwamba nawao wanafuatilia maneno ya Lisu...[emoji2955]
Haya, basi hili nalo wakanushe kwamba hakulala Mwitongo Butiama...
View attachment 1582438View attachment 1582439
Kwa hiyo ulitaka wakae kimya ili wewe uendelee kuongopa?
Majambazi nyie
 
Back
Top Bottom