Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeyote anae puuza haki no miongoni mwa wapuuzi wa kiwango Cha juu kabisa na wanapoteza hats utu waoNinaanza kupata mashaka na utendaji kazi wa idara ya mawasiliano ya serikali.
Hivi kwanini inapoteza Muda kujibu pumba ambazo hata under18 anaweza kuzitambua?
Nikweli Wamekosa Mambo mhimu ya kulisemea taifa?
Je hawajui yakuwa dawa ya maneno ya mpuuzi nikuya mpuuza?
Ushauri wangu kwa serikali: Msitumie nguvu nyingi kujibu hoja za wanasiasa wapuuzi puuzi hasa kipindi hiki Cha Kampeni kilichojaa uzwa uzwa na uongo badala yake wapuuzeni na mjikite kwenye Mambo mhimu ya taifa.
Rafiki atakapofikia hapo kwako muulize huko Dodoma wamekubaliana watatumia mbinu gani katika kupata kura za maruhani then uje uandike hapa halafu tumfikishie taarifa Mheshimiwa Rais wetu Tundu Lissu