Unataka nani akujibu..Ili tuamini tuambiyeni ni nani alichomoa zile CCTV camera pale Dodoma Tundu Lissu alipo pigwa risasi na nani aliwaondoa wale walinzi?
Jambo muhimu kwa Taifa ni kuchapisha vitambulisho vya wamachinga visipungue milioni 12Ninaanza kupata mashaka na utendaji kazi wa idara ya mawasiliano ya serikali.
Hivi kwanini inapoteza Muda kujibu pumba ambazo hata under18 anaweza kuzitambua?
Nikweli Wamekosa Mambo mhimu ya kulisemea taifa?
Je hawajui yakuwa dawa ya maneno ya mpuuzi nikuya mpuuza?
Ushauri wangu kwa serikali: Msitumie nguvu nyingi kujibu hoja za wanasiasa wapuuzi puuzi hasa kipindi hiki Cha Kampeni kilichojaa uzwa uzwa na uongo badala yake wapuuzeni na mjikite kwenye Mambo mhimu ya taifa.
[emoji3516]Kazi kweli kweli tutashuhudia mengi only time will tell us.
Acheni upuuzi, mke wa shemeji yangu ni DED na leo yupo njiani anatoka dodoma amenipigia atafikia kwangu then kesho aanze safari kurudi kwakeKinachokanushwa ni alichoongea Lissu hapa: Uchaguzi 2020 - Mgombea Urais kukutana na wasimamizi wa uchaguzi kipindi cha Kampeni inakubalika kisheria?
View attachment 1582422
View attachment 1582423
Rafiki atakapofikia hapo kwako muulize huko Dodoma wamekubaliana watatumia mbinu gani katika kupata kura za maruhani then uje uandike hapa halafu tumfikishie taarifa Mheshimiwa Rais wetu Tundu LissuAcheni upuuzi, mke wa shemeji yangu ni DED na leo yupo njiani anatoka dodoma amenipigia atafikia kwangu then kesho aanze safari kurudi kwake
Sijui ccm huwa mna matatizo gani jamani, semeni ukweli once and for all, kwani shida ipo wapi?
dah nilipoona tu jina nyamhanga nikamkumbuka demu wangu wa chuo zamani akitokea lake zoneKinachokanushwa ni alichoongea Lissu hapa: Uchaguzi 2020 - Mgombea Urais kukutana na wasimamizi wa uchaguzi kipindi cha Kampeni inakubalika kisheria?
View attachment 1582422
View attachment 1582423
Kwa hiyo ulitaka wakae kimya ili wewe uendelee kuongopa?Mbona wametumia nguvu kubwa sana kukanusha..[emoji848]
Na sikuzote si huwa wansema kwamba serikali haiwezi ikajibu hoja na propaganda za kwenye mitandao..[emoji849]
Ama basi kukanusha huko ndio tujue kwamba nawao wanafuatilia maneno ya Lisu...[emoji2955]
Haya, basi hili nalo wakanushe kwamba hakulala Mwitongo Butiama...
View attachment 1582438View attachment 1582439