Lazima aniambie maana nae ni kamanda, sema tu ameajiriwa na serikali dhalimuRafiki atakapofikia hapo kwako muulize huko Dodoma wamekubaliana watatumia mbinu gani katika kupata kura za maruhani then uje uandike hapa halafu tumfikishie taarifa Mheshimiwa Rais wetu Tundu Lissu
Mkuu jitahidi uaifiche kitu ni muda wa kumchomoa mkoloni mweusiLazima aniambie maana nae ni kamanda, sema tu ameajiriwa na serikali dhalimu
Nitakuja na uzi hapa, ngoja afike apate msosi apumzike, halafu nianze kupata taarifa muhimu toka kwakeMkuu jitahidi uaifiche kitu ni muda wa kumchomoa mkoloni mweusi
Tatizo lako unawashwa na hauna wa kukukuna.Jambo muhimu kwa Taifa ni kuchapisha vitambulisho vya wamachinga visipungue milioni 12
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Kinachokanushwa ni alichoongea Lissu hapa: Uchaguzi 2020 - Mgombea Urais kukutana na wasimamizi wa uchaguzi kipindi cha Kampeni inakubalika kisheria?
View attachment 1582422
View attachment 1582423
Mpumbavu huamini kila kitu. Lissu ni mnafiki Sana, wote wanaomwamini hufanana naye. Saccos kwa style mnayotumia, sahauni uongozi wowote kwenye nchi hii. Watanzania watawapa jeuri yenu, kwenye box la kura.Mtakanusha kila kitu Mwaka huu
Bahati mbaya sana hii serikali ya kukanusha ukweli haiaminiki tenaKinachokanushwa ni alichoongea Lissu hapa: Uchaguzi 2020 - Mgombea Urais kukutana na wasimamizi wa uchaguzi kipindi cha Kampeni inakubalika kisheria?
View attachment 1582422
View attachment 1582423
Upi?NEC wamuengue Lissu kwa kusema uongo
Hilo gubu lako jaribu tu kulitafutia dawa. Lissu ndio anaenda kuwa rais wa Tanzania, hutaki jinyonge.Mpumbavu huamini kila kitu. Lissu ni mnafiki Sana, wote wanaomwamini hufanana naye. Saccos kwa style mnayotumia, sahauni uongozi wowote kwenye nchi hii. Watanzania watawapa jeuri yenu, kwenye box la kura.
Tuhuma za kwenye kampeni za Mgombea mmoja zinatakiwa kujibiwa hukohuko kwenye kampeni na Mgombea anayeshutumiwa kwani mgombea wao wa nafasi ya juu kama mshutumiwa angeshindwa kujibu hoja ya mpinzani wake? Kama hawezi kujibu basi hafai kugombea nafasi hiyo na Serikali iache kumbeba maana itaonekana inamsaidia mgombea ashinde madhara yake yatajitokeza baada ya kutangazwa matokeo ya Uchaguzi. Kiongozi mzuri anatakiwa aonyeshe uongozi popote wakati wowote!Magufuli bado hajawa raisi iweje mnaanza kutetea ishu ambayo haimwuhusu? Subiri baada ya October 28 ndipo mnaweza kuja na kauli
Bila kujua wakati wanapanga sisi huku taarifa zishafikaMtakanusha kila kitu Mwaka huu