Uchaguzi 2020 Serikali: Lissu amedanganya, hakuna kikao cha Wakurugenzi Nchi nzima kilichofanywa na Rais Magufuli

LISU kawashika sehemu.....................na anaziminya kweli
 
Yeyote anae puuza haki no miongoni mwa wapuuzi wa kiwango Cha juu kabisa na wanapoteza hats utu wao
 
Rafiki atakapofikia hapo kwako muulize huko Dodoma wamekubaliana watatumia mbinu gani katika kupata kura za maruhani then uje uandike hapa halafu tumfikishie taarifa Mheshimiwa Rais wetu Tundu Lissu

Rafiki nakupendaa buree
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…