Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Kwa CCM hii mbovu hayo ni mafanikio makubwa snSerikali ya Tanzania imefanikiwa kuwashawishi wageni wengi kuifahamu Tanzania na kwalo HADI BABA YAKE RIHANNA AMEKUBALI KUJA KUISHI TANZANIA!
Hayo yamesemwa na Msemaji Mkuu wa Serikali bwana Gerson Msigwa.
Asante mama Samia kwa kufanikiwa kumshawishi BABA Rihanna kuja kuishi Tanzania.
View attachment 2203803
Ina maana hujafungua hiyo clip ukamsikiliza Msigwa?..Acha uwongo we sukuma gang
Hii nchi imeoza tupuHuyu mzee ni mwekezaji kwamba anakuja kuongeza tija au kumaliza tu oxygen, (Akishastaafu)? , Kwamba Vigezo vya uhamiaji amekidhi ?, Au ukiwa mzazi wa Rihana tayari unapewa entry
Kweli ni usanii na kuigiza tu kutoka kwenye Sinema yenyewe mpaka kwenye interview na utendaji....
Nongwa hizi sasa ..Serikali ya Tanzania imefanikiwa kuwashawishi wageni wengi kuifahamu Tanzania na kwalo HADI BABA YAKE RIHANNA AMEKUBALI KUJA KUISHI TANZANIA!
Hayo yamesemwa na Msemaji Mkuu wa Serikali bwana Gerson Msigwa.
Asante mama Samia kwa kufanikiwa kumshawishi BABA Rihanna kuja kuishi Tanzania.
View attachment 2203803